Tumekatazwa kufanya biashara kwenye Soko la Kimataifa la samaki Ferry

Habari waungwana,

Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.

Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.
Dp world wameshauziwa , kwani mkiambiwa nchi imeuzwa huwa mnaelewaga nini.., ndio mkome sasa
 
Unakizimba hapo ferry? Au ni wale wanaosimama?

Soko limefungulia kulikua na watu 1600 had sasa watu tunafika 8500 vizimba vipo 300 sisi tuliokosa vizimba tulifata talatibu na tukapewa eneo tukapewa meza natukawa nasehem yakuhifadhia watu niweng nahatuwez wote kua kwenye vizimba sehem ipo ndogo
 
KUNA WATU HAPO MNATOLEWA KWA STYLE NA MKIENDELEA KUKAZA,KIFUATACHO KINAJULIKANA [emoji1]

Ova
 
Ebhanaa eeeh...hii issue ipo very sensitive elezea vizuri watu waelewe chanzo na kwann mmekatazwa...ila Mimi nachojua mmekatazwa kuuzia maeneo ambayo siyo rasmi..mkuu was soko anataka watu wauzie zone husika but changamoto kubwa ni kuwa wafanyabiashara ni wengi ila maeneo yaliyokuwepo pale hayatoshelezi...
 
Aliulizwa kama Ana kizimba hapo au?

Ndiyo wale wanaouza samaki pembeni mwa sokoni tu

Ova
 
Soko limefungulia kulikua na watu 1600 had sasa watu tunafika 8500 vizimba vipo 300 sisi tuliokosa vizimba tulifata talatibu na tukapewa eneo tukapewa meza natukawa nasehem yakuhifadhia watu niweng nahatuwez wote kua kwenye vizimba sehem ipo ndogo
Poleni sana, nafikiri kuna utaratibu mpya uko njiani, mtarudishwa hapo.
 
Kwahiyo hautaki wafanye maboresho yoyote eneo hilo, mbona zipo sehemu nyingi tu unakoweza kuuza dagaa wako. Mabasi yanayoishia Ferry nayo yamezuiwa kwa sababu za matengenezo, tusitiane ujinga kwa kutaka tutetee upuuzi.
Hamna mabolesho yoyote had saiz yanayoendelea nakama ingekua mabolesho bas tungeambia
Kwani soko hilo zipo sehem tatu za mabolesho

Kwani soko hilo linafanyiwa marekebisho au?

Ova
Sehem za mabolesho zipo 3 na sisis hatupo sehem hizo
 
Habari waungwana,

Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.

Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.
Mkuu
Hebu fafanua zaidi. Kama kuna waraka basi tuwekee hapa tuusome.
 
Back
Top Bottom