Tumekatazwa kufanya biashara kwenye Soko la Kimataifa la samaki Ferry

Tumekatazwa kufanya biashara kwenye Soko la Kimataifa la samaki Ferry

Kwahiyo hautaki wafanye maboresho yoyote eneo hilo, mbona zipo sehemu nyingi tu unakoweza kuuza dagaa wako. Mabasi yanayoishia Ferry nayo yamezuiwa kwa sababu za matengenezo, tusitiane ujinga kwa kutaka tutetee upuuzi.
Wewe ndo unaleta ujinga na upuuzi.

Wamepewa ilani ya muda gani?
Mtu ameamka na gesi tumboni anatoa amri tu kuwanzia sasa msifanye hivyo.

Very low
 
Hawatoi sababu za msingi hadi sasa unaelekea mwezi wa pili.
Itakuwa hivi hivi, anapapaswa mmoja mmoja asiyetakiwa, hawawezi kuwapapa wote maana mtashtuka.

Ni kama tunavyoona wanapapaswa Maasai wa Ngorongoro lakini sisi wengine tunajiona tuko salama. Dawa ni moja, kuungana kusema Yatosha! Lakini tukiendelea kunyamaza kisa hatujapapaswa, hatimaye watatupapasa wote.
 
Huwa mnaongoza kuwa vichawa vya viongozi kwenye kampeni zao... Yanapowatinga mnalialia wenyewe. Tulieni CCM iwatumie mpk akili zitakapowarejea!.
 
Utaratibu ni pamoja na sehemu salama mkuu kwa wingi wao, afya zao, mazingira safi, N. K,
Wameelezwa hayo?
Kwa utaratibu upi?
Deadline ipi?

Je ilani ilitolewa kwanza au mlikurupuka kama mlivyozoea?
 
Itakuwa hivi hivi, anapapaswa mmoja mmoja asiyetakiwa, hawawezi kuwapapa wote maana mtashtuka.

Ni kama tunavyoona wanapapaswa Maasai wa Ngorongoro lakini sisi wengine tunajiona tuko salama. Dawa ni moja, kuungana kusema Yatosha! Lakini tukiendelea kunyamaza kisa hatujapapaswa, hatimaye watatupapasa wote.
Mtoa hoja bado hajaeleweka....
 
Hamna mabolesho yoyote had saiz yanayoendelea nakama ingekua mabolesho bas tungeambia

Sehem za mabolesho zipo 3 na sisis hatupo sehem hizo
Sawa sawa,basi mnachekechwa hapo
Kuna watu mnatolewa kwa style

Ova
 
Vizimba viko VICHACHE nanyi mko wengi mno....

Afya zenu...
Afya za wateja...
Usalama wa maeneo yenu?!
Usafi...
 
Anyway wakati wengine walipokuwa wananyanyaswa na vyombo vya Serikali kuwa hawatendi haki , baadhi walikuwa wanatamka kuwa " WAACHWE WANYOOSHWE KWANI WANAIIBIA SERIKALI" na waliyatamka haya baada ya kuaminishwa na WATAWALA, na wengine wakidai " ANAUPIGA MWINGI" hata walipoonywa kuwa hamna aliyeko salama bado watu walipuuza , Sasa zamu imefika hivyo kaeni kwa Kutulia maana "MTASEMA VIZURI mpaka sasa HAMJASEMA"
 
Ebhanaa eeeh...hii issue ipo very sensitive elezea vizuri watu waelewe chanzo na kwann mmekatazwa...ila Mimi nachojua mmekatazwa kuuzia maeneo ambayo siyo rasmi..mkuu was soko anataka watu wauzie zone husika but changamoto kubwa ni kuwa wafanyabiashara ni wengi ila maeneo yaliyokuwepo pale hayatoshelezi...
Vizimba....

Wengi wanauzia maeneo yasiyo rasmi....
 
Anyway wakati wengine walipokuwa wananyanyaswa na vyombo vya Serikali kuwa hawatendi haki , baadhi walikuwa wanatamka kuwa " WAACHWE WANYOOSHWE KWANI WANAIIBIA SERIKALI" na waliyatamka haya baada ya kuaminishwa na WATAWALA, na wengine wakidai " ANAUPIGA MWINGI" hata walipoonywa kuwa hamna aliyeko salama bado watu walipuuza , Sasa zamu imefika hivyo kaeni kwa Kutulia maana "MTASEMA VIZURI mpaka sasa HAMJASEMA"
Umejawa na UCHIZI wa chuki koko....

Kila kitu si siasa koko....

Hapo sokoni kuna uongozi....una taratibu zake....kuna ishu ya wafanyabiashara wenye VIZIMBA na wasionavyo.....

Acha kukariri
 
Hamna mabolesho yoyote had saiz yanayoendelea nakama ingekua mabolesho bas tungeambia

Sehem za mabolesho zipo 3 na sisis hatupo sehem hizo
Hilo eneo ni dogo sidhani kama mkusanyiko wa watu na ujenzi vinaweza kwenda pamoja.
 
Habari waungwana,

Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.

Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.
Pole jamani... Ukute DP wod keshasema na bandari ya samaki anamiliki🤪🤪
 
Back
Top Bottom