Wewe ndo unaleta ujinga na upuuzi.Kwahiyo hautaki wafanye maboresho yoyote eneo hilo, mbona zipo sehemu nyingi tu unakoweza kuuza dagaa wako. Mabasi yanayoishia Ferry nayo yamezuiwa kwa sababu za matengenezo, tusitiane ujinga kwa kutaka tutetee upuuzi.
Itakuwa hivi hivi, anapapaswa mmoja mmoja asiyetakiwa, hawawezi kuwapapa wote maana mtashtuka.Hawatoi sababu za msingi hadi sasa unaelekea mwezi wa pili.
Tatizo ni CCMHawatoi sababu za msingi hadi sasa unaelekea mwezi wa pili.
Utaratibu ni pamoja na sehemu salama mkuu kwa wingi wao, afya zao, mazingira safi, N. K,Punguza upumbavu.
Wakati wanausubiri huo utaratibu mmewapatia posho za kujikimu muda wa subira?
Wameelezwa hayo?Utaratibu ni pamoja na sehemu salama mkuu kwa wingi wao, afya zao, mazingira safi, N. K,
N. B, si kila jambo ni la kulipuka mkuu, ona masoko yanavyopata dhahma mbalimbali.Utaratibu ni pamoja na sehemu salama mkuu kwa wingi wao, afya zao, mazingira safi, N. K,
Mdude ni mwendawazimu....vipi watu timamu wamuunge mkono?!!! [emoji44][emoji44]Mkiambiwa muandamane mnaona kina Mdude wana shida, fukuzweni tu mpaka mjue kujitetea wenyewe.
[emoji2956]Utaratibu ni pamoja na sehemu salama mkuu kwa wingi wao, afya zao, mazingira safi, N. K,
Mtoa hoja bado hajaeleweka....Itakuwa hivi hivi, anapapaswa mmoja mmoja asiyetakiwa, hawawezi kuwapapa wote maana mtashtuka.
Ni kama tunavyoona wanapapaswa Maasai wa Ngorongoro lakini sisi wengine tunajiona tuko salama. Dawa ni moja, kuungana kusema Yatosha! Lakini tukiendelea kunyamaza kisa hatujapapaswa, hatimaye watatupapasa wote.
Sawa sawa,basi mnachekechwa hapoHamna mabolesho yoyote had saiz yanayoendelea nakama ingekua mabolesho bas tungeambia
Sehem za mabolesho zipo 3 na sisis hatupo sehem hizo
Vizimba....Ebhanaa eeeh...hii issue ipo very sensitive elezea vizuri watu waelewe chanzo na kwann mmekatazwa...ila Mimi nachojua mmekatazwa kuuzia maeneo ambayo siyo rasmi..mkuu was soko anataka watu wauzie zone husika but changamoto kubwa ni kuwa wafanyabiashara ni wengi ila maeneo yaliyokuwepo pale hayatoshelezi...
Umejawa na UCHIZI wa chuki koko....Anyway wakati wengine walipokuwa wananyanyaswa na vyombo vya Serikali kuwa hawatendi haki , baadhi walikuwa wanatamka kuwa " WAACHWE WANYOOSHWE KWANI WANAIIBIA SERIKALI" na waliyatamka haya baada ya kuaminishwa na WATAWALA, na wengine wakidai " ANAUPIGA MWINGI" hata walipoonywa kuwa hamna aliyeko salama bado watu walipuuza , Sasa zamu imefika hivyo kaeni kwa Kutulia maana "MTASEMA VIZURI mpaka sasa HAMJASEMA"
Mdude ni mwendawazimu....vipi watu timamu wamuunge mkono?!!! [emoji44][emoji44]
Hilo eneo ni dogo sidhani kama mkusanyiko wa watu na ujenzi vinaweza kwenda pamoja.Hamna mabolesho yoyote had saiz yanayoendelea nakama ingekua mabolesho bas tungeambia
Sehem za mabolesho zipo 3 na sisis hatupo sehem hizo
Pole jamani... Ukute DP wod keshasema na bandari ya samaki anamiliki🤪🤪Habari waungwana,
Mimi ni mjasiriamali kutoka ferry. Ndugu zangu maisha hadi sasa hivi yanapoelekea sipo, soko la samaki ila wanakataa tusiuze samaki. Yeyote atakae soma ujumbe huu naomba u share ili kila mtu aone ili tupate msaada.
Tunanyanyaswa watanzania na tumekuwa kama wakimbizi.