Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu
Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa!
Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana!
Yeye anambia kuwa ati kujaza mafuta kwa gari yako au kuingia hotelini na kuagiza chakula ati ni dhambi!
Nimembambia ana mawazo ya mafarisayo na masadukayo enzi zile za Bwana Yesu waliotoa maagizo yaliyo nje ya amri za mola wetu!
Nikamwambia Yesu ndiye Bwana wa Sabato hivyo siku hiyo ni Ibada, furaha na amani na haitakiwi kuwa mzigo!
Amechukia sana na kuanzia hapo hatuna mawasiliano mazuri baina yetu kama hapo awali!
Nissidieni ushauri ndugu na kama nimekosea mniambie tu ukweli