Tumekubali. Tutakukumbuka Rais wetu John P Magufuli

Fact!
 
Kwani mwendazake alimaliza mda wake hadi aliyoyaanza yakamilike? Hoja hazina mashiko kabisa mkuu.
Kwani Samia kamaliza mda wake? Miaka yote 6 alifanya nini cha maana?

Alisema reli Dar moro ingekamilika ndani ya miaka 2 ,ilikamilika? Bwawa ndani ya miaka 3 ndio kwanza hadi anakufa mradi ulikuwa umechelewa kwa zaidi ya mwaka na uongo mwingine wa kipuuzi .
 
Ondoa uharo hapa,kila kitabu na zama zake,maisha ni mafupi sana.
 
Magufuli alikua jembe masela tuseme ukweli, nchi ishaanza potea hii asee
... mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake si nyingi; anasema Mhubiri. Hata asingefariki kipindi kile bado asingedumu milele; siku zake zingetimia tu kama ilivyo kwa mwanadamu yeyote mwingine. Kwa kuona hilo ndio maana wenye busara wanashauri jengeni mifumo imara idumuyo badala ya personalities ambazo hupita mara kama ua la kondeni.

Kwa kuwa mifumo dhaifu inawasaidia watawala kuitafuna nchi wao na makundi yao, hawatokaa waiboreshe na matokeo yake tutaendelea kubaki pale pale hata aletwe Jibril kutawala kwa mifumo hii iliyopo!
 
Tuseme ukweli, Watanzania wengi tuna Asili ya Wizi/Upigaji. Kuanzia House Girl mpaka Cheo cha juu cha Nchi. Kwa mantiki hiyo bila kuwa na Rais MKALI/ASIYEFUMBIA MACHO.Matokeo yake ndiyo haya Maji hakuna, Bidhaa zinapanda bei Ovyo, Ajira kwa Kujuana, Madini yanatoroshwa, Uharamia Umerudi, Umeme wa Mgao, Bandarini kutoa mzigo ni mbinde mpaka utoe kitu, TBS Kukagua gari ili lipate stika ya ubora ni mpaka kitu, Mafuta bei imepanda pamoja na tozo baadhi kuondolewa, Michango mashuleni iko full Swing, NGOs za Ushoga zimerejea, Wahujumu Uchumi woote wakubwa akina Ruge wameachiwa ili waendelee kusababisha mgao mitambo yao ifanyekazi, Viongozi Wazuri wasiopenda janjajanja wapigwa chini kuweka magarasa akina Jmakamba, Huko kwenye Mizani Malori yaliyozidi Uzito yanapeta, Bodi ya Mikopo HESLB Wanafunzi hewa Kibao, Wawekezaji wameanza kusainishwa Mikataba Marekani nk, Ukiuza toa Risiti ukinunua Dai Risiti TRA chali, Halmashauri ukusanyaji mapato hoooi, mashirika ya Umma kushindana ubunifu wa kujiiingizia kipato ili wapate gawio ziiiiiiiii!
Yupo Rais anakuja kuokoa Nchi hii tuendelee kumuomba Mungu.
 
  • Ni rais mpumbavu pekee ambaye anaweza kufuta ajira za walimu na madaktari
  • Ni rais mpumbavu pekee ambaye anaweza kupitisha sheria ya kuondolewa wafanyakazi wenye vyeti feki kwa walimu, madaktari na magereza halafu akawaacha wanajeshi wenye vyeti kwasababu wakifukuzwa kazi kwa kuwa na vyeti feki watakuwa majambazi mtaani. Kuna baadhi ya viongozi wanavyeti feki lkn wameachwa. T
Haki na usawa hiyo ndiyo sheria ni sawa mtu kawaida akiua anahukumiwa kifungo cha maisha ila kiongozi au mwanajeshi akiua hakuna kosa.
Na madhaifu yake ni machache kuliko mema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Amtegemeaye binadamu amelaaniwa" ulikuwa unamtegemea Magu akuletee umeme, maji na mambo mengine? Hayupo sasa. Hapo ndiyo utaendelea na kulia na kusaga meno. Pole sana kiongozi, msubiri anaweza kufufuka
Hakika. Tena hatutamsahau kamwe
 
Jamaa alifanikiwa sana kuwahadaa wapumbavu kama wewe ambao ni wengi nchi hii
 
Jamaa alifanikiwa sana kuwahadaa wapumbavu kama wewe ambao ni wengi nchi hii
Alifaulu kwa sababu kama ujuavyo nchi hii ina watu karibu 95% ni wasioenda.shule yaani standard 7 sasa ukiongezea na umaskini ndio kabisaa kiwango cha kufikiri kinafifia mazima.

Ndio maana hata unaona kila mtu analaumu,analalamika na kutukana ila hakuna anaetaka kusema ukweli na kuja na suluhisho.Wachache wakija na Majibu hata kama ni biting utakuta malalamiko mengi Sana watu wanataka Zima moto.
 
Umeonge vyema mkuu.
 
hii jf nayo ina matahira kama wa twitter kule, najua mpaka sasa mmenyooka lakini kwa nje mtaendelea kumponda mzee wa watu

Muda bado utasema
 
hii jf nayo ina matahira kama wa twitter kule, najua mpaka sasa mmenyooka lakini kwa nje mtaendelea kumponda mzee wa watu

Muda bado utasema
Huwa nawashangaa sana watu wansomsifu bwana yule!!! Wengi ni vilaza wa kiwango cha juuu!!! Hata wewe angalia CV yako utajijua!!!
1) MTU aliyeshindwa kuajiri miaka 5
2)MTU aliyeshindwa kuongeza mishahara miaka mitano
3)MTU aliyekopa zaid kuliko marais wote kwa miaka mitano tuu kisha akaeadanganya hakopi na mlivyo mazuzu mkafurahi
4)MTU alipeleka kila kitu chato
5)MTU aliyewapenda watu wa kwao na kuwajazia vyeo
6) MTU aliyebomolea watu wengine ila wa kwao no no no
7)MTU aliyetengeneza Umungu MTU ccm mkamwita Mungu
8) MTU alyewaonea waathirika wa mikopo mpaka mama samia kaja kuokoa jahazi!!!
Ni mpumbavu tuu atslisapoti
 
Unafikiri mimi nimeishia darasa la pili kama wewe unayekariri kama kuku

Hujui mipango kufikia maendeleo inatakiwa vipi,
Hujui kuwa njia ya kufikia maendeleo unatakiwa kujinyima na kubana bajeti kwenye baadhi ya mambo,

Unadhani hela zinaokotwa kutoka mbinguni.

Wazazi wako wana hasara walipeleka mbuzi shule baada ya kuuza mwengine..
Bora wangezaa tikiti mama yako angekula na daktari
 
Bora ungenyamaza tu mkuu.
 
Hatutamsahau kwa kutuharibia nchi yetu kupita maelezo na kuua mifumo yote kidemokrasia iliyoasisiwa na watangulizi wake

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…