Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Ile movie noma.
Amecheza Daniel Kaluuya kama sijakosea.
Hizo mambo zilikua sana miaka fulani hivi nyuma. Blacks walifanyiwa sana unyama.
Wanajua tuna kitu inaitwa 'jungle fever'.
 
Mzee tafuta ethical hackers, recruit akusaidie kusaka taarifa zote kuhusu binti. Kisha fanya analysis na ulinganyifu wa taarifa. Lazima ufanye risk assessment. Dunia imeharibika, lazima kujiridhisha sana kabla ya kufanya maamuzi.
 
Figo zako zipo salama wajina?
 
Kuna mtu atanyofolewa Figo na Bandama sasa hivi!
 
Maake hapo kwanza ncheke.....

Huyu mwana yu hai kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…