Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Kumbuka: nimefahamiana nae hapa hapa JF na aliondoka TZ kwenda kusaka life na sasa yupo huko.
Unatakiwa kutofautisha baina ya mtu kutoka hapa kwenda hhuko kwa NIA ya KUSAKA life kisha huko kwa huko akapata mtu,hii haina tatizo kww sababu tathmini zinaonesha kuwa wanaofanyiwa matendo hayo ni watu ambao sio waenyeji wa maeeo hayo.

Lakini mtu ambaye anatoka hapa na kwenda huko kwa nia ya kwenda kuonana na mpenzi wake walioonana mtandaoni,hii mzee ni hatari sana
 
Unatakiwa kutofautisha baina ya mtu kutoka hapa kwenda hhuko kwa NIA ya KUSAKA life kisha huko kwa huko akapata mtu,hii haina tatizo kww sababu tathmini zinaonesha kuwa wanaofanyiwa matendo hayo ni watu ambao sio waenyeji wa maeeo hayo.

Lakini mtu ambaye anatoka hapa na kwenda huko kwa nia ya kwenda kuonana na mpenzi wake walioonana mtandaoni,hii mzee ni hatari sana
Ok mzee.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] katuma milion 6, ukifika akivuna hizo figo anapata zaid ya 100m, well calculated

[emoji1][emoji1][emoji1] natania nenda kale maisha kijana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nenda Kaliwe mattercall,wachukue hizo figo ni deal sana hasa hasa India huko kuna matajiri wagonjwa wengi tu wanahitaji viungo waendelee kuishi jipeleke tu mkuu

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema mim nimemuamini kwa sababu ni mdogo, pia tunapochat kupitia video call anakuwa free na hata kama nikimwambia nionyeshe sehemu fulani ya mwili ananionyesha,pia ananionyesha mpaka chuo alipo akiwa darasan ,akienda hostel ananionyesha,akienda beach na marafiki mpaka anawapa na sim wananisalimia kwa video,wawapo matembezini mjini,sjui lakini mimi nahisi mtoto yupo serious na Mimi na yupo in deep love
Wacha wee hebu nenda bhana ukamlete wifi wa Taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Google

A.Flight Dar es salaam to Valleta, halafu check prices kwenye websites za mashirika ya ndege

1.Turkish Airlines
2.Fly Emirates
3.Qatar Airways
4.Ethiopian Airlines

Kwa haraka haraka pesa kwa nauli inatosha

B.Viza
Ghrama inaweza kuwa around 250,000-300,000
Budget 500,000 pamoja na travel insurance.
Hapa inabidi akupe mualiko, akupe documents za mahali pakufikia,adresses zake.

Sasa kama hana vibali, amefikiriaje au atatumia huyo dada ake?

Inabidi uangalie ukitaka kwenda Malta viza unaipatia ubalozi wa nchi gani maana sidhani kama wana ubalozi Tanzania.

Kwa milolongo yoote hiyo, hiyo pesa inatosha na itabaki angalau kidogo.
Chenye gharama ni nauli na itategemea na season gani unataka kusafiri.

Ila si shauri uende kwa sasa bado unahitaji vingi kufahamu kutoka kwake,sometime kwenda ulaya sio shida ila shida unafikia wapi na unaishi vipi ukifika kule.......Ila usile nauli [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Comment nyingi hapa hazitofautiani na wanakijiji wanapojadili kuhusu safari ya kwenda mjini kisha wengi wao wakashauriana kuwa bora wabaki kijijini kwa kuwa mjini kuna magari mengi barabarani hivyo ukifika huko utagongwa tu!

We jamaa nenda Malta. Kwenye hiyo akili iliyokuwezesha kumfanya mtu kukutumia pesa kwa hiari yake, ongezea upeo kidogo sepa kasake maisha ughaibuni kisha wekeza nyumbani.
Pia ushauri mzuri huu.
 
Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili bati ni la nabaki Africa daaaa....Jf hatari sikutegemea kweenye maisha yangu hapa Jf kukutana na bati nyingi hivi kwenye sentensi moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu ushahidi hua ni kitu kizuri, ila kwa hio pesa pia kama ni nauli tu mbona unafika pengine labda uwe huna gamba la kuvukia boda (2700 ) kama ni usd ni zaidi ya milion 6 ya bongo ,au umetumia Dollar ya sudani sheikhe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Toa neno mtoto Mataifa ya ulaya na mabara mengi tofauti na Afrika mtoto mwisho miaka15 hata bongo sheria hii inakuja soon,watoto wako baby nursery sheikhe sio chuo.Usijeponzwa na miaka mjuba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Angekuwa wa kiume anamtumia kike hapo sawa, lkn wewe wa kiume akutumie hela na akupende kwa lipi hasa??? unadhan kwao amekosa wanaume wa kumtongoza, naona akili yako ni ya kitoto kama yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hujui Zali la mentali?
 
Angalia usirudi unachechemea. Chunga Sana "O" position itatatuliwa mchana peupe na mabeach boy wa Malta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom