Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

huna akili wewe, unaonekana bado katoto na bado hujajua kutafuta pesa zako.. Sasa nenda ukapambane na watoa Figo huko. Nonsense
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa ananikumbusha ile movie ya get out,demu anajitongozesha kwa wahuni wa kiafrica kisha anawaalika kwenda kwao ambako kuna mjumba wa kifahari.

Kisha ukifika huko watu wanapanda dau ukiwa hapo hapo na wewe huelewi,kisha baada ya hapo unaanza kujua hujui
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninamjua mtu ambae tulifahamiana hapa JF. Sitomtaja kamwe maana tunaheshimiana ila mara ya Mwisho nimeongea nae video call yupo Malta na amepata mume wa kule na ana mtoto mmoja tayari.

Niliongea nae na mume wake pia tuliongea.

Kumbuka: nimefahamiana nae hapa hapa JF na aliondoka TZ kwenda kusaka life na sasa yupo huko.

Sometimes kufanikiwa maishani kunahitaji ujasiri
Sasa Mr huyu kijana kapata bint wa 17yrs na yuko chuo. Na ukingalia kwa undani huyu bint n mdogo, yupo chini ya wazaz. Sasa huu uwezo anautoa wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Angekua mwanamke ndo anatakiwa na mwanaume huko [emoji1160] ni sawa tyuuh.
 
Yaani unatuuliza sisi kana kwamba ndo tulikupa koneksheni yake.

Kuhusu usalama hapo, hilo ni la kwako

Kuhusu kudate na binti wa miaka 17 hilo ni lako pia

Kuhusu kumzima hiyo dola 2720 hilo la kwako kuamua.

Kuhusu sheria za Malta na maisha yapoje hangaika nalo kwenye google utapata kila kitu.

La msingi kabla haujaondoka, tuma namba yake PM niweze kuwa namcheki mara kwa mara wasije wakakutoa figo na kuuza ili kufidia vichenji chenji vyao ulivyokula
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom