Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili