mjenziwakale
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 954
- 1,469
Na rushwa za kutoshaaaaa.....yaani mtu akubali jengo lake ghorofa tano lishushwe hvi hviiiIsije ikawa ni kupga pga ukuta kwa kijiti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na rushwa za kutoshaaaaa.....yaani mtu akubali jengo lake ghorofa tano lishushwe hvi hviiiIsije ikawa ni kupga pga ukuta kwa kijiti
Acha ufisadi weweee!Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili
Uzito na ugumu wa kazi husika, Arial exray kukagua nondo sahihi, usahihi wa nguzo moja mpaka nyingine, kiwango cha vumbi ndani ya zege, Mambo ni mengi kweli.Kwa nini ada iwe 2.5 Ml?
Rushwa ni mbaya sana. Rusha na ufisadi ni kama concer ya damu. Nchi ya rushwa haiwezi kuwa na walimu, madaktari ,MA engineer au viongozi wazuri. Hivyo madhara ya rushwa yanagusa kila mtu kwenye nchi hiyo. Kwenye nchi ambayo hawajari utawala wa sheria . Lazima wananchi wake watakutana na majanga kama hayo ya magorafa kuanguka. Barabara zisizo zingatia usalama wa watumiaji. Mahospitali yasiyo zingatia taratibu za utabibu, elimu inayo zalisha wasomi wasio na elimu, viongozi wasio juwa wanaogoza nani . Tubadilike tukubali kuwa tulikosea kujenga msingi mbovu tubomowe tuanze upya .Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili