Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Huu ni mradi wa utapeli tu.., taratibu zipo, na sio za kuibuka kwa matukio..Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili
Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili
Ni swala la muda tu tutasahau na maisha yataendelea sisi Tanzania tunaishi kwa mazoea zaidi sio principlesNi hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili
Alafu kwenye ile ajali ya kuporomoka jengo Kuna masisiem yameenda na nguo za kijani za chama.MTASAHAU TU..
CCM ILISHATUROGA
Hiyo bajeti badala yake iimarishe vikosi vya uokoaji katika dharura ikiwa ni pamoja na vitendea kazi.
Utapeli hapa upo wapi?, Majengo marefu ya ghorofa 3+ kukaguliwa ni muhimu sana!, hasa haya yenye pilika nyingi, maana haya ndiyo yanayoweza kusababisha maafa makubwa!Huu ni mradi wa utapeli tu.., taratibu zipo, na sio za kuibuka kwa matukio..
Wakague waweke sticker maalum.Huwa wanakagua mara Kwa mara.Tatizo wakaguzi Wana PhD feki.
Mkuu sayansi imesonga kweli, pia ipo aina ya nyundo ikigongwa tu kwenye concrete inasema kila kitu mpaka cement resho ilivyochanganywa!Ahahahha hebu ainisha criteria zinazotakiwa kutumika kutumika katika kufanya ukaguzi wa kudhibitisha Ubora na o'mara wa jengo la zege ambalo lishajengwa tiyari.
Isije ikawa ni kupga pga ukuta kwa kijitiAhahahha hebu ainisha criteria zinazotakiwa kutumika kutumika katika kufanya ukaguzi wa kudhibitisha Ubora na o'mara wa jengo la zege ambalo lishajengwa tiyari.
Kwa nini ada iwe 2.5 Ml?Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker maalumu ya kuonyesha jengo husika limekaguliwa, na ukaguzi huu uwe unafanyika kila baada ya miaka miwili
Hiyo bajeti badala yake iimarishe vikosi vya uokoaji katika dharura ikiwa ni pamoja na vitendea kazi.
Inaitwa Schmit Hammer hiyo bro.......ila kibongobongo utaishia kuwatengenezea ulaji hao jamaa wa kufuatilia uimara wa majengo kwa rushwaMkuu sayansi imesonga kweli, pia ipo aina ya nyundo ikigongwa tu kwenye concrete inasema kila kitu mpaka cement resho ilivyochanganywa!