Basi kesho wanacheza wendawazimu kabisa..waliofeli...Sasa Kama wao ni mapwagu vipi wale wasindikizaji waliocheza Leo si ndio taka taka kabisa!
Kiingilio jezi yako ya Timu ya WANANCHI
Kiingilio bei gani nikawahi VIP.
Kesho wavaa misuli wanacheza ...
NDo mlikofikia huku
[emoji3][emoji3][emoji3] gamondi ndo atawajua vizuri wabongoMara paap!! Yanga kaumia!! Ihiiiiiiiii!!!!
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!
Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!
Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
Mabingwa wa kihistoria 🇹🇿Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!
Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!
Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
🤣🤣🤣🤣MtaumiaLeo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!
Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!
Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
uko nafasi ya mwisho kwenye kundi unaongeaaa, miaka 25 iliyopita ulimaliza wa mwisho angalia historia isije kujirudia!!!!!!!Wakae pembeni hii ni Ngoma ya wakubwa, itakuwa aibu wakubwa wanakutana alafu wengine waanze kuleta story za jwaneng mara whdad mara Simba na mpira wao ule utafikiri ni ligi ya Mkoa🤔🤔
Hapa mjadala ni wa wakubwa atutaki mende au panya kuingia anga zisizowahusu!
.Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!
Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!
Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
Na leo ndiyo ataumia hadi aingie kwenye siku zake kabla ya muda.Huu uzi kwa jinsi ulivyoandikwa ni Ishara kwamba mtoa mada kaumia sana kuona Simba leo imemcharza Wydad maana alijua atafungwa!..
Kaumia sana kuona simba anasonga mbele wakati yeye hajui hatima yake kesho..
Je ataendelea kukandwa, au wanamsukutua au watamnywa tena?
Umepigaje hapo 😅😅Kiingilio bei gani nikawahi VIP.
Kuna mwenzako aliomba ban..lakini wana wakamvunjia yayi.. MakinikaLeo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!
Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!
Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!
Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
.Tusome kama ilivyoandikwa.
"Na baada ya kumaliza kuwaumba mashabiki wa simba ndipo shetani aliiba udongo na kuwaumba mashabiki wanaojiita nyuma kuna mwiko"
🤣🤣🤣🤣🤣Na leo ndiyo ataumia hadi aingie kwenye siku zake kabla ya muda.