Tumemaliza mechi za pwagu na pwaguzi tunawakaribisha kwenye mechi za mabingwa wa nchi zao hapo kesho

Kiingilio jezi yako ya Timu ya WANANCHI

Kiingilio bei gani nikawahi VIP.

yangasc-20231219-0001.jpg
 
Huu uzi kwa jinsi ulivyoandikwa ni Ishara kwamba mtoa mada kaumia sana kuona Simba leo imemcharza Wydad maana alijua atafungwa!..
Kaumia sana kuona simba anasonga mbele wakati yeye hajui hatima yake kesho..
Je ataendelea kukandwa, au wanamsukutua au watamnywa tena?
 
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!

Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!

Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!

Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!

Weka akiba ya maneno amigo!!! Kesho utakuja apa kichupi mkononi unataka gamondi afukuzwe
 
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!

Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!

Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!

Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
Mabingwa wa kihistoria 🇹🇿
 
🤣🤣🤣🤣Mtaumia
 
Wakae pembeni hii ni Ngoma ya wakubwa, itakuwa aibu wakubwa wanakutana alafu wengine waanze kuleta story za jwaneng mara whdad mara Simba na mpira wao ule utafikiri ni ligi ya Mkoa🤔🤔
Hapa mjadala ni wa wakubwa atutaki mende au panya kuingia anga zisizowahusu!
uko nafasi ya mwisho kwenye kundi unaongeaaa, miaka 25 iliyopita ulimaliza wa mwisho angalia historia isije kujirudia!!!!!!!
 
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!

Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!

Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!

Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
.
FB_IMG_1701840960728.jpg
 
Huu uzi kwa jinsi ulivyoandikwa ni Ishara kwamba mtoa mada kaumia sana kuona Simba leo imemcharza Wydad maana alijua atafungwa!..
Kaumia sana kuona simba anasonga mbele wakati yeye hajui hatima yake kesho..
Je ataendelea kukandwa, au wanamsukutua au watamnywa tena?
Na leo ndiyo ataumia hadi aingie kwenye siku zake kabla ya muda.
 
Tusome kama ilivyoandikwa.
"Na baada ya kumaliza kuwaumba mashabiki wa simba ndipo shetani aliiba udongo na kuwaumba mashabiki wanaojiita nyuma kuna mwiko"
 
Leo tumemaliza kuangalia pira la pipa na mfuniko pale kwa mkapa Sasa tunawakaribisha kesho kwa mkapa kuangalia pira burudani, pira lenye Kasi, mipango, na kiufundi!

Bila kusahau ni mechi zinazohusisha mabingwa wa nchi watupu, Medeama bingwa Ghana, Aly ahly bingwa Misri, Yanga bingwa Tanzania, Belouzdad bingwa Algeria!

Kwa maana iyo Kama kundi lako ni la wale wakina spana mkononi Bora ukae pembeni kwenye mechi za wanaume!

Narudia Tena wale walioko kwenye kundi la spana mkononi wanajijua wakae pembeni!
Kuna mwenzako aliomba ban..lakini wana wakamvunjia yayi.. Makinika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom