Smart AJ JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 5,564 Reaction score 5,884 Dec 20, 2023 #41 Full time 0-1
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 20, 2023 #42 Ngoja tuone...
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Dec 20, 2023 #43 Majok majok said: Na wewe ukituonyesha kijana mmoja wa mangungu mwenye akili nitakusajilia manzoki na sio kumleta kwenye uchaguzi na makofi yakapigwa! Click to expand... Mangungu nenda nyumbani kwake utawakuta vijana wake. Nionyeshe zuzu lenye akili ukiondoa wale wawili.
Majok majok said: Na wewe ukituonyesha kijana mmoja wa mangungu mwenye akili nitakusajilia manzoki na sio kumleta kwenye uchaguzi na makofi yakapigwa! Click to expand... Mangungu nenda nyumbani kwake utawakuta vijana wake. Nionyeshe zuzu lenye akili ukiondoa wale wawili.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Dec 20, 2023 #44 Majok majok said: Pipa + mfuniko = ? Click to expand... Utopolo pro max
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Dec 20, 2023 #45 XII Tz said: Ila yanga huu ushindi wa simba leo umewauma kuliko hata hao Wydad wenyewe [emoji23] Click to expand... Miaka 27 leo ndio gongowazi wanafikisha pointi 5.
XII Tz said: Ila yanga huu ushindi wa simba leo umewauma kuliko hata hao Wydad wenyewe [emoji23] Click to expand... Miaka 27 leo ndio gongowazi wanafikisha pointi 5.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,050 Reaction score 5,204 Dec 20, 2023 #46 XII Tz said: Ila yanga huu ushindi wa simba leo umewauma kuliko hata hao Wydad wenyewe [emoji23] Click to expand... Ule mwiko umezidi kuzama.
XII Tz said: Ila yanga huu ushindi wa simba leo umewauma kuliko hata hao Wydad wenyewe [emoji23] Click to expand... Ule mwiko umezidi kuzama.
Majok majok JF-Expert Member Joined Aug 3, 2023 Posts 783 Reaction score 2,057 Dec 20, 2023 Thread starter #47 Boli limetembea na magoli yamefungwa bila presha Wala kuweka mabeki 7, mpira unachezwa na roho yako inarizika sio pira kukurukakara utafikiri Ngoma za walevi wa kimpumu!
Boli limetembea na magoli yamefungwa bila presha Wala kuweka mabeki 7, mpira unachezwa na roho yako inarizika sio pira kukurukakara utafikiri Ngoma za walevi wa kimpumu!