Tumemaliza mechi za pwagu na pwaguzi tunawakaribisha kwenye mechi za mabingwa wa nchi zao hapo kesho

Tumemaliza mechi za pwagu na pwaguzi tunawakaribisha kwenye mechi za mabingwa wa nchi zao hapo kesho

Na wewe ukituonyesha kijana mmoja wa mangungu mwenye akili nitakusajilia manzoki na sio kumleta kwenye uchaguzi na makofi yakapigwa!
Mangungu nenda nyumbani kwake utawakuta vijana wake.

Nionyeshe zuzu lenye akili ukiondoa wale wawili.
 
Boli limetembea na magoli yamefungwa bila presha Wala kuweka mabeki 7, mpira unachezwa na roho yako inarizika sio pira kukurukakara utafikiri Ngoma za walevi wa kimpumu!
 
Back
Top Bottom