instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ameonyesha dhamira ya dhati ya kuboresha maisha ya mtanzania lakini michadema Bado inaendekeza siasa chafu,
Mh. Rais alipoingia madarakani alipandisha watumishi mishahara akalipa malimbikizo, wastaf wakalipwa Hela zao kwa muda mpaka sasa wanapata Hela kwa muda, ametoa maelfu ya ajira zilizokuwa zimesimama kwa miaka mingi.
Mh. Rais ametengeneza mazingira mazuri ya biashara na sector binafsi lakini michadema kutwa kuhamasisha vurugu nchini, hawa watu kwanini wasifungwe maisha ili sisi tuneemeke na fursa anazozibuni Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan.
Watumishi sasa tunajua serikali imetumia nguvu kubwa kurudisha uchumi wa nchi kutokana na vurugu za CHADEMA nchini.
Tunaona aibu hata kuiomba serikali ianze kuitambua MASTERS DEGREE NA PhD KWENYE MISHAHARA KWASABABU WOTE TUNAONA SERIKALI VILE INARECOVER UCHUMI BAADA YA VURUGU ZA CHADEMA.... HONGERA SANA MH. RAIS DR. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KAZI NZURI YA KUIMARISHA UCHUMI WA NCHI.
CHADEMA NI UMASIKINI