Tumemsikia tena Tundu Lissu: Tishio la ubidhaishaji wa shughuli ndogo ndogo za mama lishe na machinga

Joined
Oct 6, 2020
Posts
27
Reaction score
50
Tangu kuzinduliwa kwa heka heka za kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28, Oktoba mwaka huu, tumesikia ahadi zilizoanishwa katika vyama mbalimbali vya siasa. Katika mnyukano huu, tafakari ya kina ya ilani hizi imethihirisha mnyukano wa itakadi kuu mbili zinazoshindana.

Kwa upande mmoja chama tawala kimeweka bayana itakadi yake inayojikita katika kujenga uchumi wa kitaifa, jumuishi na shirikishi unathibitiwa na dola kwa manufaa ya wengi hasa hasa wanyonge. Na kwa upande wa pili, tumeshuhudia nguvu kubwa vyama vya upinzani vikinadi itakadi inayochochea nguvu ya soko huria katika mgawanyo wa rasilimali na kufifisha juhudi hizi mabadilko ya kijamii na kiuchumi kama hovyo.

Kwa wazi kabisa, mgombea wa chama cha CHADEMA amejibainisha kuwa upande wa mkondo upendeleao wachache na kunadi sera za ubinafsihaji kama muarobaini wa matatizo ya Tanzania na huku akidhahaki fikra zinazohoji dhuruma ya mfumo wa kipepari kwa kutumia maneno kama mabeberu kama zimepitwa na wakati.

Katika makala nyingine iliyopita, nilizungumzia namna gani ilani ya CHADEMA inalenga kubidhaisha huduma kuu za kijamii kama shule, afya na maji kwa mlango wa kuleta ufanisi na ubora wa maisha ya mtu binafsi. Na hili limethibitika bayana katika ufunguzi wa kampeni za CHADEMA na mgombea wake akipigia chapuo la kujenga soko holela.

Tunapoendelea kufuatilia kampeni za CHADEMA, kauli na ahadi za mgombea wao Tundu Lissu zinaendelea kuthibitisha nia na mlengo wa kuwafungamanisha hata watu masikini ambao wamekuwa wahanga wakubwa wa soko huria na ubinafsishaji wa biashara na huduma za jamii.

Angalau katika awamu ya uongozi wa serikali ya Raisi Dkt. John Magufuli, tumeshuhudia uchumi kutoka chini wa wanyonge ukipewa msukumo mkubwa na kuwapa Uhuru wa kufaidi maeneo ya kufanyia biashara na kurasimisha shughuli zao kwa tozo nafuu kupitia utamburisho maarufu wa Kitamburisho cha machinga kwa kiasi cha shillingi za kitanzania elfu ishirini tu.

Hata hivyo, akiwa Mbeya kwenye kampeni zake, mgombea wa CHADEMA amesikika akinadi ahadi zake kuwa akipewa madaraka atafuta utaratibu wa sasa wa kila mama lishe kufanyia shughuli sehemu anayoona ni nafuu kwake na kuwa atawakaribisha wawekezaji binafsi kujenga majengo yatakayo tumika kufanyia biashara kwa hawa Wafanyabiashara wadogo.

Ameenda zaidi na kuahadi kuwa hatatumia fedha za serikali kuu katika kumuwezesha mfanya biashara ndogo ndogo kupata sehemu nafuu ya kufanyia shughuli zake. Na pia ameongeza kuwa serikali za mitaa kwa kushirikiana na wawekezaji binafsi watatumia fursa hii ya kibiashara katika harakati za kulimbikiza mtaji kupitia jasho la watu masikini wanaotegemea kipato cha siku kuendesha maisha.

Kauli hii ya Tundu Lissu ina madhara mapana katika uchumi wa kila siku wa hawa mama Lishe wanaotegemea kuendesha shughuli zao kwa kutegemea mazingira wezeshi. Kukaribisha watu binafsi kujenga na kupangisha mama Lishe hawa na pengine machinga kama mkakati wa kustarabisha shughuli zao kwa mtazamo wa kimagharibi kwa muonekano kuwa si hadhi ya mtu kama Tundu Lissu kupata huduma zinaonesha kasumba ya kudharau shughuli hizi kama za watu wasioelimika. Na uwekezaji wa watu binafsi na wenye mitaji wanapiganiwa kama sehemu ya kuleta munekano wa kisasa katika uendeshaji wa mazingira ya kibiashara.

Image for post

Katika mtazamo mpana, kwa kuchagua sera za namna hizi, zinaenda kufunga mfanyabiashara mdogo mdogo katika minyonyoro ya wenye kulimbikiza mitaji kupitia soko holela linalopigiwa chapuo na CHADEMA.

Lengo la mfanyabiashara sio kutoa hisani bali lengo lake kubwa ni kupata faida maradufu. Kwa kumjengea na kumkodisha mfanyabiashara huyu mdogo sehemu ya biashara ni jaribio la kuendelea kumfukarisha katika vifungo vya tozo la pango la mwezi ambalo limefunganishwa na msukumo wa masharti ya kibiashara.

Si hilo tu, bali hata kile kipato kidogo alichokuwa anapata kuendesha maisha yake kinataenda kwa bwana mwenye mali/mpangishaji ambaye kwake anachokusudia kuvuna ni faida wala aongozwi na jicho la utu na huruma.

Kwa uzoefu, kutokana na kushamiri kwa soko holela katika uwekezaji kwenye sekta ya majengo kwa watu binafsi tulishuhudia kupanda kiasi cha kupitiliza kwa hela za pango. Hii siyo kuwa inambinya mfanyabiashara mdogo, bali inapelekea kupanda kwa gharama kwa mlaji wa huduma hizi ili kufidia tozo za kibiashara anazobambikiwa mtu huyu.

Kwa kuchaka zaidi kauli za mgombea wa CHADEMA na tunakiunganisha sera yao ya kubidhaisha huduma nyingine za kijamii kama vile elimu, afya na maji mtu atakaye pata pigo ni mtu huyu mnyonge anayategemea ruzuku angalau kuleta aueni wa maisha.

Kwa kuendeleza duara la ubidhaishaji, Wafanyabiashara hawa wadogo wataendelea kutumbukia katika lindi la umaskini. Wanafuaika katika sera hizi zinazonadiwa kwa nguvu zote zinanufaisha watu wachache na pengine wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa ambao wana uchu wa kulimbikiza mali kupitia ajenda ya ubinafshaji wa njia kuu za uzalishaji mali kupitia kipato na jasho la watu maskini.

Tafakuri hii itusaidie kubaini upotoshaji na nia mbaya ambayo imejikita katika kutetea maslai binafsi ya watu na kusigina mifumo inayogawa kwa usawa rasimali na kuondoa mifumo kandamizi ya kinyonyaji.

Uchumi shirikishi uliotekelezwa awamu ya kwanza ya serikali ya Dkt. John Magufuli ambayo imeleta mizania katika kuendesha shughuli za ustawishaji wa jamii na mtu mmoja bila upendeleo wowote unatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.

Katika hatua hizi, wafanyabiashara wadogo wadogo wamenufaika na mazingira yanayowapigia chapuo na kuondoa kero za muda mrefu za kuandamwa na wenye mitaji na kuonekana wenye kuchafua taswira ya biashara ya kisasa kuwa kero katika miji na majiji.

Uchaguzi wa kipindi hiki ni kuchagua upande wa maslahi mapana ya umma na ilani ya CCM chini ya mgombea wake imesheheni mikakati inayopimika na uhalisia katika kuleta mabadiliko ya kweli yanayotambua na kutumia juhudi za watu wa chini katika kujenga Tanzania mpya.
 
Tangu kuzinduliwa kwa heka heka za kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28, Oktoba mwaka huu, tumesikia ahadi zilizoanishwa katika vyama mbalimbali vya siasa. Katika mnyukano huu, tafakari ya kina ya ilani hizi imethihirisha mnyukano wa itakadi kuu mbili zinazoshindana. Kwa upande mmoja chama tawala kimeweka bayana itakadi yake inayojikita katika kujenga uchumi wa kitaifa, jumuishi na shirikishi unathibitiwa na dola kwa manufaa ya wengi hasa hasa wanyonge. Na kwa upande wa pili, tumeshuhudia nguvu kubwa vyama vya upinzani vikinadi itakadi inayochochea nguvu ya soko huria katika mgawanyo wa rasilimali na kufifisha juhudi hizi mabadilko ya kijamii na kiuchumi kama hovyo.

Kwa wazi kabisa, mgombea wa chama cha CHADEMA amejibainisha kuwa upande wa mkondo upendeleao wachache na kunadi sera za ubinafsihaji kama muarobaini wa matatizo ya Tanzania na huku akidhahaki fikra zinazohoji dhuruma ya mfumo wa kipepari kwa kutumia maneno kama mabeberu kama zimepitwa na wakati. Katika makala nyingine iliyopita, nilizungumzia namna gani ilani ya CHADEMA inalenga kubidhaisha huduma kuu za kijamii kama shule, afya na maji kwa mlango wa kuleta ufanisi na ubora wa maisha ya mtu binafsi. Na hili limethibitika bayana katika ufunguzi wa kampeni za CHADEMA na mgombea wake akipigia chapuo la kujenga soko holela.

Tunapoendelea kufuatilia kampeni za CHADEMA, kauli na ahadi za mgombea wao Tundu Lissu zinaendelea kuthibitisha nia na mlengo wa kuwafungamanisha hata watu masikini ambao wamekuwa wahanga wakubwa wa soko huria na ubinafsishaji wa biashara na huduma za jamii. Angalau katika awamu ya uongozi wa serikali ya Raisi Dkt. John Magufuli, tumeshuhudia uchumi kutoka chini wa wanyonge ukipewa msukumo mkubwa na kuwapa Uhuru wa kufaidi maeneo ya kufanyia biashara na kurasimisha shughuli zao kwa tozo nafuu kupitia utamburisho maarufu wa Kitamburisho cha machinga kwa kiasi cha shillingi za kitanzania elfu ishirini tu. Hata hivyo, akiwa Mbeya kwenye kampeni zake, mgombea wa CHADEMA amesikika akinadi ahadi zake kuwa akipewa madaraka atafuta utaratibu wa sasa wa kila mama lishe kufanyia shughuli sehemu anayoona ni nafuu kwake na kuwa atawakaribisha wawekezaji binafsi kujenga majengo yatakayo tumika kufanyia biashara kwa hawa Wafanyabiashara wadogo.

Ameenda zaidi na kuahadi kuwa hatatumia fedha za serikali kuu katika kumuwezesha mfanya biashara ndogo ndogo kupata sehemu nafuu ya kufanyia shughuli zake. Na pia ameongeza kuwa serikali za mitaa kwa kushirikiana na wawekezaji binafsi watatumia fursa hii ya kibiashara katika harakati za kulimbikiza mtaji kupitia jasho la watu masikini wanaotegemea kipato cha siku kuendesha maisha. Kauli hii ya Tundu Lissu ina madhara mapana katika uchumi wa kila siku wa hawa mama Lishe wanaotegemea kuendesha shughuli zao kwa kutegemea mazingira wezeshi. Kukaribisha watu binafsi kujenga na kupangisha mama Lishe hawa na pengine machinga kama mkakati wa kustarabisha shughuli zao kwa mtazamo wa kimagharibi kwa muonekano kuwa si hadhi ya mtu kama Tundu Lissu kupata huduma zinaonesha kasumba ya kudharau shughuli hizi kama za watu wasioelimika. Na uwekezaji wa watu binafsi na wenye mitaji wanapiganiwa kama sehemu ya kuleta munekano wa kisasa katika uendeshaji wa mazingira ya kibiashara.

Image for post

Katika mtazamo mpana, kwa kuchagua sera za namna hizi, zinaenda kufunga mfanyabiashara mdogo mdogo katika minyonyoro ya wenye kulimbikiza mitaji kupitia soko holela linalopigiwa chapuo na CHADEMA. Lengo la mfanyabiashara sio kutoa hisani bali lengo lake kubwa ni kupata faida maradufu. Kwa kumjengea na kumkodisha mfanyabiashara huyu mdogo sehemu ya biashara ni jaribio la kuendelea kumfukarisha katika vifungo vya tozo la pango la mwezi ambalo limefunganishwa na msukumo wa masharti ya kibiashara.

Si hilo tu, bali hata kile kipato kidogo alichokuwa anapata kuendesha maisha yake kinataenda kwa bwana mwenye mali/mpangishaji ambaye kwake anachokusudia kuvuna ni faida wala aongozwi na jicho la utu na huruma. Kwa uzoefu, kutokana na kushamiri kwa soko holela katika uwekezaji kwenye sekta ya majengo kwa watu binafsi tulishuhudia kupanda kiasi cha kupitiliza kwa hela za pango. Hii siyo kuwa inambinya mfanyabiashara mdogo, bali inapelekea kupanda kwa gharama kwa mlaji wa huduma hizi ili kufidia tozo za kibiashara anazobambikiwa mtu huyu.

Kwa kuchaka zaidi kauli za mgombea wa CHADEMA na tunakiunganisha sera yao ya kubidhaisha huduma nyingine za kijamii kama vile elimu, afya na maji mtu atakaye pata pigo ni mtu huyu mnyonge anayategemea ruzuku angalau kuleta aueni wa maisha. Kwa kuendeleza duara la ubidhaishaji, Wafanyabiashara hawa wadogo wataendelea kutumbukia katika lindi la umaskini. Wanafuaika katika sera hizi zinazonadiwa kwa nguvu zote zinanufaisha watu wachache na pengine wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa ambao wana uchu wa kulimbikiza mali kupitia ajenda ya ubinafshaji wa njia kuu za uzalishaji mali kupitia kipato na jasho la watu maskini.

Tafakuri hii itusaidie kubaini upotoshaji na nia mbaya ambayo imejikita katika kutetea maslai binafsi ya watu na kusigina mifumo inayogawa kwa usawa rasimali na kuondoa mifumo kandamizi ya kinyonyaji. Uchumi shirikishi uliotekelezwa awamu ya kwanza ya serikali ya Dkt. John Magufuli ambayo imeleta mizania katika kuendesha shughuli za ustawishaji wa jamii na mtu mmoja bila upendeleo wowote unatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.

Katika hatua hizi, wafanyabiashara wadogo wadogo wamenufaika na mazingira yanayowapigia chapuo na kuondoa kero za muda mrefu za kuandamwa na wenye mitaji na kuonekana wenye kuchafua taswira ya biashara ya kisasa kuwa kero katika miji na majiji. Uchaguzi wa kipindi hiki ni kuchagua upande wa maslahi mapana ya umma na ilani ya CCM chini ya mgombea wake imesheheni mikakati inayopimika na uhalisia katika kuleta mabadiliko ya kweli yanayotambua na kutumia juhudi za watu wa chini katika kujenga Tanzania mpya.

Mm hata Lissu hasiposhinda Sina tatizo as long as Mr magufuli amepata mtu wa kumwambia ukweli

Na pia Mr jpm atakuwa amejua kuwa taarifa alizokuwa anapewa kuwa chadema imekufa ni uongo

Kwa miaka yote mitano hakuna mtu yoyote alikuwa na uwezo wa kumweleza Mr jpm kitu chochote
 
Tangu kuzinduliwa kwa heka heka za kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28, Oktoba mwaka huu, tumesikia ahadi zilizoanishwa katika vyama mbalimbali vya siasa. Katika mnyukano huu, tafakari ya kina ya ilani hizi imethihirisha mnyukano wa itakadi kuu mbili zinazoshindana.

Kwa upande mmoja chama tawala kimeweka bayana itakadi yake inayojikita katika kujenga uchumi wa kitaifa, jumuishi na shirikishi unathibitiwa na dola kwa manufaa ya wengi hasa hasa wanyonge. Na kwa upande wa pili, tumeshuhudia nguvu kubwa vyama vya upinzani vikinadi itakadi inayochochea nguvu ya soko huria katika mgawanyo wa rasilimali na kufifisha juhudi hizi mabadilko ya kijamii na kiuchumi kama hovyo.

Kwa wazi kabisa, mgombea wa chama cha CHADEMA amejibainisha kuwa upande wa mkondo upendeleao wachache na kunadi sera za ubinafsihaji kama muarobaini wa matatizo ya Tanzania na huku akidhahaki fikra zinazohoji dhuruma ya mfumo wa kipepari kwa kutumia maneno kama mabeberu kama zimepitwa na wakati.

Katika makala nyingine iliyopita, nilizungumzia namna gani ilani ya CHADEMA inalenga kubidhaisha huduma kuu za kijamii kama shule, afya na maji kwa mlango wa kuleta ufanisi na ubora wa maisha ya mtu binafsi. Na hili limethibitika bayana katika ufunguzi wa kampeni za CHADEMA na mgombea wake akipigia chapuo la kujenga soko holela.

Tunapoendelea kufuatilia kampeni za CHADEMA, kauli na ahadi za mgombea wao Tundu Lissu zinaendelea kuthibitisha nia na mlengo wa kuwafungamanisha hata watu masikini ambao wamekuwa wahanga wakubwa wa soko huria na ubinafsishaji wa biashara na huduma za jamii.

Angalau katika awamu ya uongozi wa serikali ya Raisi Dkt. John Magufuli, tumeshuhudia uchumi kutoka chini wa wanyonge ukipewa msukumo mkubwa na kuwapa Uhuru wa kufaidi maeneo ya kufanyia biashara na kurasimisha shughuli zao kwa tozo nafuu kupitia utamburisho maarufu wa Kitamburisho cha machinga kwa kiasi cha shillingi za kitanzania elfu ishirini tu.

Hata hivyo, akiwa Mbeya kwenye kampeni zake, mgombea wa CHADEMA amesikika akinadi ahadi zake kuwa akipewa madaraka atafuta utaratibu wa sasa wa kila mama lishe kufanyia shughuli sehemu anayoona ni nafuu kwake na kuwa atawakaribisha wawekezaji binafsi kujenga majengo yatakayo tumika kufanyia biashara kwa hawa Wafanyabiashara wadogo.

Ameenda zaidi na kuahadi kuwa hatatumia fedha za serikali kuu katika kumuwezesha mfanya biashara ndogo ndogo kupata sehemu nafuu ya kufanyia shughuli zake. Na pia ameongeza kuwa serikali za mitaa kwa kushirikiana na wawekezaji binafsi watatumia fursa hii ya kibiashara katika harakati za kulimbikiza mtaji kupitia jasho la watu masikini wanaotegemea kipato cha siku kuendesha maisha.

Kauli hii ya Tundu Lissu ina madhara mapana katika uchumi wa kila siku wa hawa mama Lishe wanaotegemea kuendesha shughuli zao kwa kutegemea mazingira wezeshi. Kukaribisha watu binafsi kujenga na kupangisha mama Lishe hawa na pengine machinga kama mkakati wa kustarabisha shughuli zao kwa mtazamo wa kimagharibi kwa muonekano kuwa si hadhi ya mtu kama Tundu Lissu kupata huduma zinaonesha kasumba ya kudharau shughuli hizi kama za watu wasioelimika. Na uwekezaji wa watu binafsi na wenye mitaji wanapiganiwa kama sehemu ya kuleta munekano wa kisasa katika uendeshaji wa mazingira ya kibiashara.

Image for post

Katika mtazamo mpana, kwa kuchagua sera za namna hizi, zinaenda kufunga mfanyabiashara mdogo mdogo katika minyonyoro ya wenye kulimbikiza mitaji kupitia soko holela linalopigiwa chapuo na CHADEMA.

Lengo la mfanyabiashara sio kutoa hisani bali lengo lake kubwa ni kupata faida maradufu. Kwa kumjengea na kumkodisha mfanyabiashara huyu mdogo sehemu ya biashara ni jaribio la kuendelea kumfukarisha katika vifungo vya tozo la pango la mwezi ambalo limefunganishwa na msukumo wa masharti ya kibiashara.

Si hilo tu, bali hata kile kipato kidogo alichokuwa anapata kuendesha maisha yake kinataenda kwa bwana mwenye mali/mpangishaji ambaye kwake anachokusudia kuvuna ni faida wala aongozwi na jicho la utu na huruma.

Kwa uzoefu, kutokana na kushamiri kwa soko holela katika uwekezaji kwenye sekta ya majengo kwa watu binafsi tulishuhudia kupanda kiasi cha kupitiliza kwa hela za pango. Hii siyo kuwa inambinya mfanyabiashara mdogo, bali inapelekea kupanda kwa gharama kwa mlaji wa huduma hizi ili kufidia tozo za kibiashara anazobambikiwa mtu huyu.

Kwa kuchaka zaidi kauli za mgombea wa CHADEMA na tunakiunganisha sera yao ya kubidhaisha huduma nyingine za kijamii kama vile elimu, afya na maji mtu atakaye pata pigo ni mtu huyu mnyonge anayategemea ruzuku angalau kuleta aueni wa maisha.

Kwa kuendeleza duara la ubidhaishaji, Wafanyabiashara hawa wadogo wataendelea kutumbukia katika lindi la umaskini. Wanafuaika katika sera hizi zinazonadiwa kwa nguvu zote zinanufaisha watu wachache na pengine wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa ambao wana uchu wa kulimbikiza mali kupitia ajenda ya ubinafshaji wa njia kuu za uzalishaji mali kupitia kipato na jasho la watu maskini.

Tafakuri hii itusaidie kubaini upotoshaji na nia mbaya ambayo imejikita katika kutetea maslai binafsi ya watu na kusigina mifumo inayogawa kwa usawa rasimali na kuondoa mifumo kandamizi ya kinyonyaji.

Uchumi shirikishi uliotekelezwa awamu ya kwanza ya serikali ya Dkt. John Magufuli ambayo imeleta mizania katika kuendesha shughuli za ustawishaji wa jamii na mtu mmoja bila upendeleo wowote unatakiwa kulindwa kwa nguvu zote.

Katika hatua hizi, wafanyabiashara wadogo wadogo wamenufaika na mazingira yanayowapigia chapuo na kuondoa kero za muda mrefu za kuandamwa na wenye mitaji na kuonekana wenye kuchafua taswira ya biashara ya kisasa kuwa kero katika miji na majiji.

Uchaguzi wa kipindi hiki ni kuchagua upande wa maslahi mapana ya umma na ilani ya CCM chini ya mgombea wake imesheheni mikakati inayopimika na uhalisia katika kuleta mabadiliko ya kweli yanayotambua na kutumia juhudi za watu wa chini katika kujenga Tanzania mpya.
Hongera kwa elimu muruaa
 
Kwahiyo wewe unaona ni sawa kila mtu kufanya biashara barabarani badala ya kuwa na maeneo yanayoheshimika kufanya biashara? Unaona ni sawa wali na maharage kupikiwa barabarani na matunda kuuzwa chini eti sababu wanaouza ni maskini? Unaona sawa kabisa?
 
Back
Top Bottom