Tumemtuhumu Mafwele peke yake bila kumtaja anayemtuma. Mafwele hatoboi 2029

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Watawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi

Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !

Sasa wana mmaliza bila ushahidi na tunakaa kimya na polis wanegawanyika

Britanicca

Hutaki unaacha Mafwele hatoboi 2029
 
Watajuana wenyewe tumechoka
 
Kwani uongo wako lini umekoma!!.
 
Relax, Dunia inakua inachofanya.

MAFWELE katuhumiwa kwa Kosa la 'Kuwaumiza Wana harakari".

REJEA mswaada wa Seneti ya MAREKAN, ni kupitia Upya Uhusiano, kwa sababu ya Mauaji ya Okto 29, Vita dhidi ya UKRISTO, DEMOKRASIA.

Panga linakuja kubwaaaaaa
 
Watawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi

Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !

Sasa wana mmaliza bila ushahidi na tunakaa kimya na polis wanegawanyika

Britanicca

Hutaki unaacha Mafwele hatoboi 2029
sawa
 
Back
Top Bottom