Tumemtuhumu Mafwele peke yake bila kumtaja anayemtuma. Mafwele hatoboi 2029

Tumemtuhumu Mafwele peke yake bila kumtaja anayemtuma. Mafwele hatoboi 2029

Hivi unatumia akili kufikiri au unatumia nini?
Kuna wanachama wangapi wa chadema wameuliwa,kutekwa na kifungwa na kuteswa.kisa siasa.?
Kuna ulazma gani wa kuwa na chama Cha upinzani alafu wanauliwa?
Au sababu hakuna ndugu yako aliyeuliwa.?
Mko line Moja,mnatofautiana kwenye uwasiliahaji maoni!
 
Back
Top Bottom