britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Watajuana wenyewe tumechokaWatawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi
Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !
Sasa wana mmaliza bila ushahidi na tunakaa kimya na polis wanegawanyika
Britanicca
Hutaki unaacha Mafwele hatoboi 2029
Kwani uongo wako lini umekoma!!.Watawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi
Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !
Sasa wana mmaliza bila ushahidi na tunakaa kimya na polis wanegawanyika
Britanicca
Hutaki unaacha Mafwele hatoboi 2029
Wew tetezi la muuaji nduli iddi amin samiahii porojo na ramli useless gentleman, plz 🐒
Relax, Dunia inakua inachofanya.Watawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi
Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !
Sasa wana mmaliza bila ushahidi na tunakaa kimya na polis wanegawanyika
Britanicca
Hutaki unaacha Mafwele hatoboi 2029
Huyu ni mpumbavu asojua alitendalo unampiga tofali tuNchi inapata laana kuwa na mtu asiye na utu kama kima huyu
sawaWatawala wanatoa oda kuwa watanzania wauwawe na ambaye amekuwa akipewa order na kutekeleza yaan Mafwele anaweza kupotezwa kumaliza ushahidi
Kitengo hasi kimeweza sana kucheza na wananchi tumemtuhumu mafwele peke yake bila kujua kuwa bila kumtaja anayemtuma tunampa credit Samia !
Sasa wana mmaliza bila ushahidi na tunakaa kimya na polis wanegawanyika
Britanicca
Hutaki unaacha Mafwele hatoboi 2029
Hakika.Shetani hana rafiki, Mshahara wa dhambi ni mauti
Ndio maana ukajiita mjingawewe , jina lako linasadifu.Mimi nadhani Bora chadema kingefutwa ili kukosoa nafsi za watu na mateso na vifo
Ukiona kinyago kinacheza jua kuna anayekichezesha
Hivi unatumia akili kufikiri au unatumia nini?Ndio maana ukajiita mjingawewe , jina lako linasadifu.