Hongereni! Yasingekuwa majeraha yaliyo msumbua kwa muda mrefu, muda huu tungekuwa tunaongea mengine kuhusu Paul Godfrey.
Mnajitahidi sana kwenye usajili.
Ikiwapendeza mumfuatilie yule mshambuliaji wa pembeni wa Mbeya Kwanza mfupi na mwenye nguvu na kasi ya ajabu. Alikuwa ndiyo mfungaji bora wakati timu inapanda ligi kuu. Ila kwa bahati mbaya alikuwa hapati nafasi ya kucheza. Badala yake mwalimu wa timi alikuwa akimchezesha zaidi Eliuta Mpepo.
NB; Simfahamu, hanifahamu. Ila ana kipaji kikubwa.