Mwamba huyuuu apa
Asee mapenzi ni upofu!
Haueleweki unaongelea kitu gani kilichotokea leo. Embu toa maelezo yaliyonyoka uzi wako ueleweke. MhaririHii transformation ya soka la Tanzania kuwa bongo muvi naiona ikiienda kwa kasi sana ikiongozwa na hawa jamaa watakao comment matusi hapa chini.
Wasomali ni mafia sana,hili jambo linaonekana kwa wachache wenye akili
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Uzuri mnaelewa ila mnajitahidi kujizima data tuHaueleweki unaongelea kitu gani kilichotokea leo. Embu maelezo yaliyonyoka uzi wako ueleweke. Mhariri
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Kwa msaada wa black witchesKama maana yako ni hii ninayoifikiri basi hayo maigizo yalianzia ngao ya jamii
Yanga haitakiwi kabisa kushinda!!?..ingekua hivyo ungeikuta!?..boresheni timu lenu bovu,mtaharibu mimba Bure!!Uzuri mnaelewa ila mnajitahidi kujizima data tu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Uzuri nyie ndio mna haki ya kufungwa na Yanga wengine wote hua wanahongwaHii transformation ya soka la Tanzania kuwa bongo muvi naiona ikiienda kwa kasi sana ikiongozwa na hawa jamaa watakao comment matusi hapa chini.
Wasomali ni mafia sana,hili jambo linaonekana kwa wachache wenye akili
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Ishinde bila msaaada wa waamuzi.Yanga haitakiwi kabisa kushinda!!?..ingekua hivyo ungeikuta!?..boresheni timu lenu bovu,mtaharibu mimba Bure!!
Kama unaamini kuwa mchezaji wenu alikataa kwenda man city kwa kuwa anaipenda yanga,basi jichagulie jina linalokufaa kimoyo moyo maana ni aibu kulisema
Kwa hiyo Yanga kuifunga Polisi ni jambo la kushangaza? Hivi siku hizi matokeo halali ni Yanga kufungwa tu? ulihoji chochote mechi ya Simba vs Mtibwa?Ishinde bila msaaada wa waamuzi.
Ishinde kwa jitihada za kweli sio kurubuni baadhi ya wachezaji wa timu pinzani.
Pole sana kama una mimba na tunataka kukuharibia
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Niko nasubiri na mimi Hilo tukio lililoamua mechi ya janaBinafsi ni mwamuzi mstaafu na nimeshaanzisha nyuzi zaidi ya 10 nikikosoa maamuzi mbalimbali. Lakini kwa Jana labda unieleze tukio gani Rukyaa aliharibu hadi kupelekea Ushindi wa Yanga. Hayo mengine ya Uchawi na kuhonga wachezaji huwa sichangii maana sina uwezo nayo.
Sio Mwarabu tena?Caf confederation cup ndio mwokozi wa dhulma zote hizi ngoja tusubiri