Tumeona Leo mchezo wa kuigiza na mwamuzi alikuwa muhusika mkuu

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii transformation ya soka la Tanzania kuwa bongo muvi naiona ikiienda kwa kasi sana ikiongozwa na hawa jamaa watakao comment matusi hapa chini.

Wasomali ni mafia sana,hili jambo linaonekana kwa wachache wenye akili

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
20221103_114417.jpg
 
Haueleweki unaongelea kitu gani kilichotokea leo. Embu toa maelezo yaliyonyoka uzi wako ueleweke. Mhariri

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hii transformation ya soka la Tanzania kuwa bongo muvi naiona ikiienda kwa kasi sana ikiongozwa na hawa jamaa watakao comment matusi hapa chini.

Wasomali ni mafia sana,hili jambo linaonekana kwa wachache wenye akili

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Uzuri nyie ndio mna haki ya kufungwa na Yanga wengine wote hua wanahongwa
 
Caf confederation cup ndio mwokozi wa dhulma zote hizi ngoja tusubiri
 
Yanga haitakiwi kabisa kushinda!!?..ingekua hivyo ungeikuta!?..boresheni timu lenu bovu,mtaharibu mimba Bure!!
Ishinde bila msaaada wa waamuzi.
Ishinde kwa jitihada za kweli sio kurubuni baadhi ya wachezaji wa timu pinzani.

Pole sana kama una mimba na tunataka kukuharibia

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Binafsi ni mwamuzi mstaafu na nimeshaanzisha nyuzi zaidi ya 10 nikikosoa maamuzi mbalimbali. Lakini kwa Jana labda unieleze tukio gani Rukyaa aliharibu hadi kupelekea Ushindi wa Yanga. Hayo mengine ya Uchawi na kuhonga wachezaji huwa sichangii maana sina uwezo nayo.
 
Kwa hiyo Yanga kuifunga Polisi ni jambo la kushangaza? Hivi siku hizi matokeo halali ni Yanga kufungwa tu? ulihoji chochote mechi ya Simba vs Mtibwa?
 
Binafsi ni mwamuzi mstaafu na nimeshaanzisha nyuzi zaidi ya 10 nikikosoa maamuzi mbalimbali. Lakini kwa Jana labda unieleze tukio gani Rukyaa aliharibu hadi kupelekea Ushindi wa Yanga. Hayo mengine ya Uchawi na kuhonga wachezaji huwa sichangii maana sina uwezo nayo.
Niko nasubiri na mimi Hilo tukio lililoamua mechi ya jana
 
Back
Top Bottom