Tumeona Leo mchezo wa kuigiza na mwamuzi alikuwa muhusika mkuu

Kwaiyo simba peke yake ndiyo yenye haki ya kufungwa na yanga? Mbona mnakuwa wabinafsi sana nyie siku zote kitu kizuri kula na mwenzako🤣🤣🤣
 
Confederation gani kwenye mechi 15 za ligi police wameshinda mechi ngapi? Nyinyi mmecheza nao kwao Moshi mliwafunga ngapi? hivi kwanini akili ni kitu adimu sana kwa nyie Mbumbumbu!
Shida sio kifungwa shida ni aina ya team inavyofungwa ikicheza na yanga.
 
Mara ya mwisho Police wameshida mechi gani? tupe matokeo yao ya mechi 5 za mwisho kabla ya kucheza na Yanga
Kwani ihefu wakati anamfunga yanga alikuwa kamfunga nani na alikuwa nafasi ya ngapi ina maana unashindwa kuelewa ninachomaanisha
 
Kwa hiyo Yanga kuifunga Polisi ni jambo la kushangaza? Hivi siku hizi matokeo halali ni Yanga kufungwa tu? ulihoji chochote mechi ya Simba vs Mtibwa?
Si mliwatuma wakamie mchezo yakawakuta.

Jana mmecheza ninyi faulo,kadi anapewa mtu mwingine.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Kwani ihefu wakati anamfunga yanga alikuwa kamfunga nani na alikuwa nafasi ya ngapi ina maana unashindwa kuelewa ninachomaanisha
Endeleeni na malalamiko tutakutana hapa mwisho wa msimu, timu inashindwa kutoa gari garage, usajiri haueleweki, Barbara kasusa mna coach wa kukodi mnashindwa kupambana na changamoto zenu mmekomaa na mambo ya jilani kupanga ni kuchagua
 
Tatizo yule nguruwe pori kila anachoongea mnamsikiliza alisema mnaanzia group stage Caf champions league mkakubali alisema Caf confederation cup ni kombe loser akamaliza wenye akili yanga ni wawili hivi mtu kama huyo kweli anaaakili huyo
 
Wewe na huyo unae msema akili ni sawa maana reply yako na maelezo yangu haviendani kabisa
 
Upuuzi kutoka kwa mpuuzi!! Hebu tupe sababu za wewe kuja na upuuzi huu, tupe tips zipi zimekupelekea useme huu upuuzi. Vinginevyo utakuwa ni mtu wa kuumia na Mambo yasiyo na msingi, kwa mtu mwenye akili timamu na upeo wa mpira huwezi kuja na ujinga kama huu. Kwahiyo unataka kutumaanisha yanga hakustahili kushinda?. Punguzeni ujinga na kuna mengine sio kuanzishia mada!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…