inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Yanga inazifunga timu zote ikiwepo yako,nanyi mmerubuniwa!?.. club africain walirubuniwa!?..Ishinde bila msaaada wa waamuzi.
Ishinde kwa jitihada za kweli sio kurubuni baadhi ya wachezaji wa timu pinzani.
Pole sana kama una mimba na tunataka kukuharibia
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app