Oljoro n kuwapa tu mkonoPanone nikiangaliaga nembo yao napatwa na mizuka sana nawaombea sana waimarike wapande ligi kuu at least tuwe na pa kushangilia bwana oljoro nao wamezama tena kwenye tope agrrr
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mnafurahia kuwaletea point ma yanga ma simba na ma azam
Huyu atakua n wa kule unyakiusanmkuu jina lako tata sana,lazima wewe ni mzawa wa mwambao tu..
Mkuu labda wazikute maji maji na mbao fc hazijashuka daraja wanaweza kuambulia point[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu kwan hawataweza kuambulia
Hata point moja
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2]Mkuu labda wazikute maji maji na mbao fc hazijashuka daraja wanaweza kuambulia point
Ni kweli asee hata mim sasa ivi mtu akiniulizaga we mshabiki was team gani humjibu panone fc ligi daraja la kwanza huwa wanacheka sanaa huku nawaambia hata mbuyu ulianza kama mchicha mazee tutapanda tuu.Oljoro n kuwapa tu mkono
Wa baybay
Tuiombee tuu panon wapande
Na,cc tupakupgia debe aiseee
Maana nna uhakika
Panon ina 90% ya,mafanc wa
Kaskazin hapo bdo hujawaweka wa
Nyumban mo town
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kidogo mbeya city anakaza[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji2]
Ila maji maji hata kama n kuwa
Mtori co kwa kias hiki aisee wamezd
Kabsa mkuu wasubr tuNi kweli asee hata mim sasa ivi mtu akiniulizaga we mshabiki was team gani humjibu panone fc ligi daraja la kwanza huwa wanacheka sanaa huku nawaambia hata mbuyu ulianza kama mchicha mazee tutapanda tuu.
Huyu nae aspojiangalia mhhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] kidogo mbeya city anakaza
Hata Mimi nawaombea sana man wangu hope Mwenyenzi Mungu atasikia kilio chetu wana was kaskazini toka ushirika waondoke.Kabsa mkuu wasubr tu
Cku tukipanda ligi kuu
Lazma waisome no hakuna mchezo
Binafc panon nlianza kuwakubali
Kitambo sana
Mungu atasaidia tu tutapanda
Dhaaaa!! Ushirika chama lileHata Mimi nawaombea sana man wangu hope Mwenyenzi Mungu atasikia kilio chetu wana was kaskazini toka ushirika waondoke.