usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,956
- 14,032
Oljoro n kuwapa tu mkonoPanone nikiangaliaga nembo yao napatwa na mizuka sana nawaombea sana waimarike wapande ligi kuu at least tuwe na pa kushangilia bwana oljoro nao wamezama tena kwenye tope agrrr
Wa baybay
Tuiombee tuu panon wapande
Na,cc tupakupgia debe aiseee
Maana nna uhakika
Panon ina 90% ya,mafanc wa
Kaskazin hapo bdo hujawaweka wa
Nyumban mo town