TUMEPIGWA? Hili ni treni la SGR nchini Kenya miaka sita iliyopita. Gari linaifukuzana nayo kwa speed ya 120 Km/Hour

Kasi ya majaribio inapaswa kuwa zaidi ya kasi tarajiwa. Treni hii ni ya mwendo kali, iweje uifanye majaribio kwa mwendo mdogo?
 
Kujieleza sana nako ni dalili mbaya,hapo umeandika hekaya
 
Kasi ya majaribio inapaswa kuwa zaidi ya kasi tarajiwa. Treni hii ni ya mwendo kali, iweje uifanye majaribio kwa mwendo mdogo?
Majaribio hayatizamii kasi ya chombo pekeake,kumbuka inatumia umeme na Tz bado suala la umeme ni tatizo maana kuna za chini chini inasemekana kuna muda treni ilipungua ufanisi kwa nguvu ya umeme kuwa chini.
Hivyo majaribio ni ya kutizama miundombinu yenyewe ya uendeshaji hiyo treni je ina ufanisi mathalan umeme n.k.
Pia haikutembea mwendo mdogo bali ilitembea optimal speed chukulia kilometa 300 kwa masaa mawili itakua imetembea mwendo wa kuanzia 100kmph mpk 140kmph kufikia umbali wa kilometa 300 kwa masaa mawili.
Je hiyo spidi ndogo??
Inamaana ungeunga mpaka Dodoma ungetumia masaa 5 na kidogo.
 
Kweni Fence ikiwekwa inazuia Derailment?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…