Hata mm kila siku najilaumu kwann nilizaliwa Tanzania?TANZANIA ninaishi kwakuwa sina namna tu.
Kama Sheria ya nchi hairuhusu manunuzi ya mitumba,lakini mitumba imenunuliwa!inashindikana nini kujenga reli bila mpango kazi?Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango-kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Ktk awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpk Kigoma.
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa chini uangalie mpango-kazi wa TRC:-
View attachment 2459204
Wanao ifahamu reli wanajua kwamba biashara kubwa ipo Kigoma. Mpaka sasa reli ya kati inategemea zaidi mizigo na abiria wa Kigoma kuliko MwanzaAwali mwenye kuanzisha hii project hakuweka SGR ifike kigoma, na tukiwa wakweli kupeleka SGR Kigoma is not commercially viable kwa sasa..maswali ni mengi..
1. Nani amechomeka katikati SGR ifike kigoma?
2. Kwa nini mkopo huo uchukuliwe sasa? Kuna haraka gani?
3. Kuna tofauti ya figures za mradi, ni bahati mbaya au ni deal?
4. Ni single source lakini kwa contractor aliyeonyesha uwezo mdogo kabisa kubeba mradi kama huu kwa lot aliyopewa awali, kwa nini kumuongezea?
Kwa haya maswali natamani yaliyotokea msumbiji kwa watu waliingiza nchi kwenye madeni isivyopaswa kufungwa, yatokee hapa siku moja, uzuri taarifa hazipotei, siku amepatikana Rais mzalendo watafungwa watu hata kama wako 80's
Narudia hakuna sababu kabisa kuingia deni kupeleka SGR kigoma wakati reli ya zamani bado ingefaa kwa sasa route ya kigoma..tumeibiwa!
[emoji38][emoji38][emoji38]Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango-kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Ktk awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka Tabora mpk Kigoma.
Kwanini? Serikali ya CCM imetupiga changa la macho tena?
Soma mwenyewe hapa chini uangalie mpango-kazi wa TRC:-
View attachment 2459204
Hata mm kila siku najilaumu kwann nilizaliwa Tanzania?
Ukimpata mtalii boya yeyote kwenye harakati zake za kupambana na VISA/passport mng'ang'anie huyo muondoke naye, hata ukawe house boy wake huko maulaya ama mambele na hakikisha unaipata chance, na ukiipata usirudi tena huku nchi ya giza[emoji23]TANZANIA ninaishi kwakuwa sina namna tu.
Hii hoja haina mantiki. SGR inatoka Dar kwenda mikoa ya kaskaxini magharibi tu. Vipi pande nyingine za nchi, malori hatatatumika?Ujenzi wa reli ya treni pia ni tishio kwa wauzaji wa vipuri vya mabasi na malori, maana malori yao na mabasi yakipunguza routes mnadhani watauzaje spea?
Ni giza kwelikweliUkimpata mtalii boya yeyote kwenye harakati zake za kupambana na VISA/passport mng'ang'anie huyo muondoke naye, hata ukawe house boy wake huko maulaya ama mambele na hakikisha unaipata chance, na ukiipata usirudi tena huku nchi ya giza[emoji23]
Kupeleka sgr mwanza Kuna faida gani!?..ya kigoma ni rahisi kuunga na Burundi ambako pia wakongo wanaweza tumia,kupeleka mwanza Kuna faida gani?!..maana treni hairudishi faida ikiwa lengo ni abiria tuAwali mwenye kuanzisha hii project hakuweka SGR ifike kigoma, na tukiwa wakweli kupeleka SGR Kigoma is not commercially viable kwa sasa..maswali ni mengi..
1. Nani amechomeka katikati SGR ifike kigoma?
2. Kwa nini mkopo huo uchukuliwe sasa? Kuna haraka gani?
3. Kuna tofauti ya figures za mradi, ni bahati mbaya au ni deal?
4. Ni single source lakini kwa contractor aliyeonyesha uwezo mdogo kabisa kubeba mradi kama huu kwa lot aliyopewa awali, kwa nini kumuongezea?
Kwa haya maswali natamani yaliyotokea msumbiji kwa watu waliingiza nchi kwenye madeni isivyopaswa kufungwa, yatokee hapa siku moja, uzuri taarifa hazipotei, siku amepatikana Rais mzalendo watafungwa watu hata kama wako 80's
Narudia hakuna sababu kabisa kuingia deni kupeleka SGR kigoma wakati reli ya zamani bado ingefaa kwa sasa route ya kigoma..tumeibiwa!
Jiwe alipeleka SGR Mwanza kwasabb za ukanda na ukabila zilizokuwa zimemlevya. Lkn Mwanza haina tija kwa SGR. Kigoma ndiyo mahala pakeKupeleka sgr mwanza Kuna faida gani!?..ya kigoma ni rahisi kuunga na Burundi ambako pia wakongo wanaweza tumia,kupeleka mwanza Kuna faida gani?!..maana treni hairudishi faida ikiwa lengo ni abiria tu
Tunajua zaidi yako, mizigo gani ya DRC na Burundi treni inabeba kwa sasa..treni hukata na kunganisha mabehewa Tabora ..hata kwa kuangalia tu mabehewa ya kwenda mwanza ni mengi zaidi kuliko ya kwenda kigoma..zamani hakukuwepo treni ya mizigo kwenda kigoma treni ya abiria ndiyo ilikuwa inatumika kubeba mabehewa ya mizigo tofauti na mwanza ambako kuna treni ya mizigo na abiria peke yake..lakini route ya mwanza inaserve mikoa 5 shinyanga, mwanza, geita, kagera, mara plus Uganda na Eastern Congo..huwezi linganisha na kigoma..treni inaserve mkoa mmoja tu, tumetumia treni maisha yetu yote, baada ya zao la mchikichi kudorora hakuna biashara nyingine kigoma usidanganye watu hapa, mzigo gani wa DRC na Burundi..Wanao ifahamu reli wanajua kwamba biashara kubwa ipo Kigoma. Mpaka sasa reli ya kati inategemea zaidi mizigo na abiria wa Kigoma kuliko Mwanza
DR Congo na Burundi tegemeo lao kuu ni reli ya Kati, kwa maana hiyo uamuzi wa kupeleka SGR Kigoma ni sahihi