Tunajua zaidi yako, mizigo gani ya DRC na Burundi treni inabeba kwa sasa..treni hukata na kunganisha mabehewa Tabora ..hata kwa kuangalia tu mabehewa ya kwenda mwanza ni mengi zaidi kuliko ya kwenda kigoma..zamani hakukuwepo treni ya mizigo kwenda kigoma treni ya abiria ndiyo ilikuwa inatumika kubeba mabehewa ya mizigo tofauti na mwanza ambako kuna treni ya mizigo na abiria peke yake..lakini route ya mwanza inaserve mikoa 5 shinyanga, mwanza, geita, kagera, mara plus Uganda na Eastern Congo..huwezi linganisha na kigoma..treni inaserve mkoa mmoja tu, tumetumia treni maisha yetu yote, baada ya zao la mchikichi kudorora hakuna biashara nyingine kigoma usidanganye watu hapa, mzigo gani wa DRC na Burundi..