TUMERUDI PALE PALE HAKUNA MABADILIKO, BARRICK KIBOKO

Makinikia hawajayagusia kabisaaa!

Tutaamka asubuhi moja makontena yote yameshapakiwa na kuondoka kuficha aibu.
Sijaona alichozungumza kipya hapo zaidi ya CSR(social corporate responsibility-CSR). For sure hata Barick wanajua alichozungumza ni tayari mambo waliyokuwa wanazungumza, ambayo kimsingi yapo kwenye sheria za nchi.

N:B Mtakapojua ni pale Acacia au Barricks watakavyopunguza huduma zake kwa jamii jirani na mgodi yake, na wakidai watajibiwa kaulizeni serikali maana tulishalipa hiyo fedha huduma.
 
Hivi Ni kweli walikuwa wanatuibia kwenye makinikia au! mbona hawajagusia.....
Yaani kutoka trillion 108 mpaka billion 666!!!
mmmmmh.....

Noah yangu jamani
Yani atleast ingefika hata Trillion 1 basi tungeamini kidogo kuna nafuu kumbe kelele nyiingi halafu tumepewa billion 700 ambayo pia ni subject for approval kutoka kwa shareholders, jamaa wakigoma ku approve hyo itakuwaje sjui
 
Hi ni kwa nini huyu Mtafsiri hajatafusiri kutoka lugha ya Kiswahili kwenda Kiingereza ili hao Wazungu wafahamu kilichokuwa kinazungumzwa, ina maana hao Wazungu wanafahamu lugha ya Kiswahili ? Ilikuwa rahisi zaidi kutotafisiri Kiingerza kwenda Kiswahili, lakini ilikuwa muhimu Kiswahli kwenda Kiingereza ili Wazungu wafahamu namna Watazania chini ya Uongozi wa Rais wao wasivyopenda kuibiwa.
 
Millioni 300 badala ya Trillions 400+!!!!!!!!!!!!!.

TUNDU LISU YUKO WAPI JAMANI?

LISU AMECHANGIAJE KATIKA KUPIGWA KWETU NAMNA HII?

KAMA SIYO AIBU, HII NI FEDHEHA!

Millioni 300 badala ya Trillions 400+!!!!!!!!!!!!!.

TUNDU LISU YUKO WAPI JAMANI?

LISU AMECHANGIAJE KATIKA KUPIGWA KWETU NAMNA HII?

KAMA SIYO AIBU, HII NI FEDHEHA!
Hzi ni pumba kama pumba zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…