Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,236
- 1,368
Sijaona alichozungumza kipya hapo zaidi ya CSR(social corporate responsibility-CSR). For sure hata Barick wanajua alichozungumza ni tayari mambo waliyokuwa wanazungumza, ambayo kimsingi yapo kwenye sheria za nchi.Makinikia hawajayagusia kabisaaa!
Tutaamka asubuhi moja makontena yote yameshapakiwa na kuondoka kuficha aibu.
N:B Mtakapojua ni pale Acacia au Barricks watakavyopunguza huduma zake kwa jamii jirani na mgodi yake, na wakidai watajibiwa kaulizeni serikali maana tulishalipa hiyo fedha huduma.