Tumeshashinda mapambano wanapumulia kisoda mafisadi, tumesha wapoteza hawaaminiki tena na wananchi wala kimataifa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Utaona wanajifanya wapo bize kana kwamba hakuna kinachoendelea kumbe presha zao zipo juu sana,

Tukutane kwenye Final #D9 tuwakimbize kwenye nchi yetu
 
Wanajifanya wanatabasamu nje kumbe ndani wanavuja damu
 
Back
Top Bottom