Tumeshinda kwenye Operation “Vaa Barakoa” sasa tuhamie kwenye Chanjo

Ndio maana tunawaambia corona hakuna njia inayoonesha kuzuia zaidi zaidi itaondoka yenyewe naturally kama ilivyokuja.

Kama una hisi kuna njia ya kuzuia itaje na ni wapi imesaidia
Mbona mnadanganya watu sana? dunia nzima inahangaika kutafuta dawa nyie mmekalia kupumbaza watu eti itaondoka yenyewe, Mungu alikupa akili za nini sasa....

 
Sasa kwa akili zako kwa vifo hivyo hiyo ingekuwa suruhu vingetoa?
 
unahabari kuwa walio recover ni 19,212,517 almost 85%.
Wame recover baada ya kutumia dawa gani?

Ndio maana tukasema kama barakoa na lockdawn vingekuwa vinasaidia hao 19 milioni wangepataje corona?
 
Kama huna data zozote huwezi kujua ni watanzania wangapi wamekufa kwa corona.
Simple tu, watz tunajuana kwa koo,

Kwenye ukoo wako na wa mme wako au mke wako wamekufa wangapi?
 
Jf bwana kuna vituko sana wewe unaishi dunia ya wapi hao wanaovaa barakoa wanavaa kidevuni sehemu nyingi hawanawi mikoni
mtaani hakuna lolote nchi hii ngumu kuanzia viongozi mpaka raia
 
Wame recover baada ya kutumia dawa gani?

Ndio maana tukasema kama barakoa na lockdawn vingekuwa vinasaidia hao 19 milioni wangepataje corona?
vimepunguza ,sio kuzuia kupata corona.
vitu kama barakoa ni kupunguza transmission ya ugonjwa.
si kuponya.. maana hiyo siyo dawa.

ni kama condom inapunguza possibility ya kupata ngoma. lakin si dawa ya ngoma. simple science tu.
 
Mfano babako anatoka asubuhi kwenda ktk mihangaiko,,unampa condition aje na nyama akitoka job,ataleta?..
Hivi baba anapigiwa kura?
Raisi ni mtumishi wa umma ndiyo maana analipwa mshahara, ikiwa atatumia busara na hekima katika utumishi wake ataheshimiwa na kutiiwa lakini akiwa kinyume cha hivyo hatoweza kuhudumia hiyo kazi yake kwa ufanisi.
 
vimepunguza ,sio kuzuia kupata corona.
vitu kama barakoa ni kupunguza transmission ya ugonjwa.
si kuponya.. maana hiyo siyo dawa.

ni kama condom inapunguza possibility ya kupata ngoma. lakin si dawa ya ngoma. simple science tu.
Ahaaa... Marekani walianza kukaa lockdown, kuvaa barakoa na kufanya distancing wakiwa na vifo visivyozidi 200 na maambukizi yasiyozidi elfu 1.

Leo hii wana maambukizi milioni 28 na vifo laki 5.

Haya hizo hatua zimepunguza vipi maambukizi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ni ushindi wananchi kuvaa barakoa? Sasa unataka na chanjo. Hivi ulisikia vizuri hoja za Serikali kuhusu chanjo na barakoa? Ulitafakari vizuri? Watu kama nyinyi ndo siku zote wazungu wanawataka kwa ajili ya kupenyeza mambo yao Africa. Maana akili zenu zipo makalioni
 
Huwezi kuelewa kitu kwa sababu fikira zako zimejazwa ujinga kuwa kila kitu cha mzungu ni kwa ajili ya kuihujumu Afrika.

Barakoa zimewekewa virusi, chanjo zitaua watanzania tu, mbona simu ya mzungu unatumia.
 
Wewe quinine naona si riziki kwa Taifa letu! Lini ulizuiwa kuvaa barakoa? Lini ulizuiwa kujilockdown mwenyewe na familia yako Kama una familia!! Inasema umeshinda kuvaa barakoa kana kwamba ilikuwa Ni marufuku kuzivaa!! Hata hizo chanjo zifuate tu huko ziliko, mbona Kuna wenzio walishazifuata kitambo japo kwa Sasa wanajutia!!
Huko waliko wataalamu wa kuvaa barakoa na wataalamu wa kujilockdown corona imepiga kambi tangu mwaka Jana na kila siku Kuna maelfu ya maambukizi mapya na mamia k meama siyo maelfu ya vifo kila siku!! Hamia huko Kama unataka!
 
Kumbuka tu hiyo idadi inajumuisha walipotea kutokana na first wave. sevcond wave ya covid unajua ikoje?
mbona waliopona ambao ni 85% ya waliougua huongelei. the fact bado hawajafika 1m in death..
na kuanza ku adminstrate chanjo wamepunguza speed ya maambukizi otherwise wangekuwa 2 mil kwa sasa.
Kumbuka wao ni moja ya nchi za kwanza kabisa kupigwa na covid. so sion ajab.
but alteast effort zao zinaonekana.

once again barakoa haizuii corona. inapunguza transmission. just like ilivyo condom kwa ukimwi
 
Ila raia wengi bado ni vichwa maji. Wanatazama lakini hawaoni.
 
Dalili ni nzuri, kwanza wameanza kusema chanjo ni ghari kitu ambacho hakina msingi wowote kwenye afya ya mtu, halafu wanasema eti hazijajaribiwa kwenye nchi za joto kama yetu sijui hizo taarifa wamezitoa wapi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…