KusufuriaMakoko
Member
- Aug 12, 2022
- 21
- 25
Hatukusagi cha kukosoa, kupongeza kwetu mwiko. Hio ndio asili ya MtanzaniaNi kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa.
Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.
Tafsiri ya umoja siyo kujidanganya kwamba hatuna matatizo wakati uhalisia ni kwamba tunayo.Kazi unayo wewe Na utopolo wako
Simba tumeamua kuwa timu moja no makundi sasa
Kibendera kamezeshwa BAHASHAMshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
Shots 16 goal 1, huoni kwamba safu ya ushambuliaji inahitaji makali zaidi?Aliyecheza na kupigwa 2 kavu ndo alicheza vizuri? Possession yote hiyo na shots unakosoa? Utumbo
Hapana, ilikuwa offside [emoji38][emoji38][emoji38]Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
Lakini wametunyima clear penaltymarefa walikuwa na urafiki na simba leo
Washika vibendera walikuwa na maamuzi ya kuibeba Simba kwa wazi kabisa, kuna mmoja faulo imetendeka mbele yake na mchezaji wa Simba, anasema mpira uelekee Vipers, naona refa wa kati akaona ujinga umezidi akasema mpira uelekee Simba.Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
On target ngapi?Shots 16 goal 1, huoni kwamba safu ya ushambuliaji inahitaji makali zaidi?
Sio offside irudie hiyo clip.Hapana, ilikuwa offside [emoji38][emoji38][emoji38]
Labda utusaidie wewe uliyesema timu ni nzuri kwa kuwa tuna shots nyingiOn target ngapi?
Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
Madunduka watakumeza wao wanapenda ata kama timu iko ovyo we waambie timu yenu ni hatari, wakianza kupigishwa kwata ndio utasikia atumtaki kocha, mara tuna wachezaji wazee, Akili yao anaijua Rage peke yakeNi kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa.
Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.