Tumeshinda lakini tunaogopa

Tumeshinda lakini tunaogopa

Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
Washika vibendera walikuwa na maamuzi ya kuibeba Simba kwa wazi kabisa, kuna mmoja faulo imetendeka mbele yake na mchezaji wa Simba, anasema mpira uelekee Vipers, naona refa wa kati akaona ujinga umezidi akasema mpira uelekee Simba.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.

Hali ngumu huko utopoloni, mnamuhitaji kijana aje kuokoa jahazi

1678213686428.png
 
Ni kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa.
Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.
Madunduka watakumeza wao wanapenda ata kama timu iko ovyo we waambie timu yenu ni hatari, wakianza kupigishwa kwata ndio utasikia atumtaki kocha, mara tuna wachezaji wazee, Akili yao anaijua Rage peke yake
 
Back
Top Bottom