Tumeshinda lakini tunaogopa


Utakufa kwa presha
 
Madunduka watakumeza wao wanapenda ata kama timu iko ovyo we waambie timu yenu ni hatari, wakianza kupigishwa kwata ndio utasikia atumtaki kocha, mara tuna wachezaji wazee, Akili yao anaijua Rage peke yake
Changamoto sana
 
Ukweli umuweka mtu huru, Kaka umeongea ukweli mtupu...
Kunywa chochote bill kwangu
 
Simba ni tamu kama maini.....

Utopolokwinyo mtabaki kuwa Utopolo tuu
 
Unajua maana ya home advantage???ndo ile sasa..haya sema lingine
Duu navyojua mimi home advantage maana yake hiyo advantage inatokana na mashabiki, sababu shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili na si kutokusimamia sheria za mpira.
 
Ni kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa.
Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.
Unaogopa wewe Utopolo hujui utakachokutana nacho kesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…