joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Anamkataba na Yanga, so mkataba ndio unao mtaka aitumikie Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anamkataba na Yanga, so mkataba ndio unao mtaka aitumikie Yanga.
Washika vibendera walikuwa na maamuzi ya kuibeba Simba kwa wazi kabisa, kuna mmoja faulo imetendeka mbele yake na mchezaji wa Simba, anasema mpira uelekee Vipers, naona refa wa kati akaona ujinga umezidi akasema mpira uelekee Simba.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Fala wewe
Changamoto sanaMadunduka watakumeza wao wanapenda ata kama timu iko ovyo we waambie timu yenu ni hatari, wakianza kupigishwa kwata ndio utasikia atumtaki kocha, mara tuna wachezaji wazee, Akili yao anaijua Rage peke yake
SureSimba amenyinywa penalty
Siyo idadi ya shotsUshindi wa mpira wa miguu ni magori
Glasi ya maji bariiiiidiUkweli umuweka mtu huru, Kaka umeongea ukweli mtupu...
Kunywa chochote bill kwangu
Sio offside irudie hiyo clip.
Yaani hali ngumu haswa, bora Feitoto aje kuikomboa Yanga maana tokea aondoke Yanga inaporomoko tu
Jamaa alitoka kabla ya mpira
Mshika kibendera nae kachemka lile ni goli hamna offside pale.
Kibendera kamezeshwa BAHASHA
Duu navyojua mimi home advantage maana yake hiyo advantage inatokana na mashabiki, sababu shabiki ni mchezaji wa kumi na mbili na si kutokusimamia sheria za mpira.Unajua maana ya home advantage???ndo ile sasa..haya sema lingine
Unaogopa wewe Utopolo hujui utakachokutana nacho keshoNi kweli tumeshinda, lakini kwa kuangalia performance ya timu, ni dhahiri kwamba tumeshinda lakini tunaogopa.
Bado tuna kazi kubwa ya kujenga timu ya ushindani hasa kimataifa.