Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchawi upo,na Mungu yupo,ila Uchawi ni laana kwa sababu ni Kazi ya shetani mwenyewe.Hayo yote ni madhara ya kukumbatia ujinga wa imani potofu na za uongo!
Mkiambiwa uchawi haupo, mnakataa.
mzee washikaji watatu walikamatwa Urusi wale walioua zaidi ya watu 100 kwenye mall siku si nyingi lakini hawajanyongwa!Akikamatwa utasikia haki za binadamu ,huyu ni kumnyonga au kumchinja kweny hadhara ya watu.
The,Uchawi upo,na Mungu yupo,ila Uchawi ni laana kwa sababu ni Kazi ya shetani mwenyewe.
Na shetani ni Baba wa uongo na uharibifu.
100 % correct na kwa kufanya hivyo huyo mtoto angeweza kupatikana akiwa hai maana katoroshwa tangu 30/05/2024 kakutwa amefariki 17/06/2024Rais hakuonekana kuumizwa hata kidogo na huyu mtoto ndo maana hamjasikia kauli yoyote kutoka kwake.
Angekuwa kaumizwa angeitisha press conference ya ghafla na kisha kufunga mipaka yote kwa muda,na kisha kumpa IGP na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa siku 14 wawe wamewapata wauaji wakiwa hai au wamekufa,na ikibidi kuomba msaada Scotland Yard na FBI,huwa nasema siye hatuna Serikali tuna genge la wahuni tu walioshika Bunduki.
Nimemsikia Samia akiongelea hii issue ameongea utafikir sio Rais wa nchi huyu mama sijui yukoje aisee.Rais hakuonekana kuumizwa hata kidogo na huyu mtoto ndo maana hamjasikia kauli yoyote kutoka kwake.
Angekuwa kaumizwa angeitisha press conference ya ghafla na kisha kufunga mipaka yote kwa muda,na kisha kumpa IGP na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa siku 14 wawe wamewapata wauaji wakiwa hai au wamekufa,na ikibidi kuomba msaada Scotland Yard na FBI,huwa nasema siye hatuna Serikali tuna genge la wahuni tu walioshika Bunduki.
Duh baba yake mzazi?? Kuna muda watu kama hao watuachie wananchi tumalizane nao hadharani maana mahakamani hakuna haki.Baba yake ndio alikuwa master minder na yuko chini ya ulinzi ,,uchaguzi umekaribia
USSR
Ilitakiwa siku mtoto anapotea Jeshi, polisi, usalama na kila chombo cha dola waingie Kagera. Baa zifungwe, wauza bangi, waganga wa kienyeji, watiliwa mashaka wote ndani. Kila kijiji kila nyumba oparesheni. Hata asipopatikana lakini siku nyingine mtu akimuona albino awe kama ameona msafara wa Rais. Kila raia anakuwa mlinzi. Kanda ya ziwa wamezidi ujinga.100 % correct na kwa kufanya hivyo huyo mtoto angeweza kupatikana akiwa hai maana katoroshwa tangu 30/05/2024 kakutwa amefariki 17/06/2024
Ni wapi uchawi uliwahi fanya kazi?Uchawi upo,na Mungu yupo,ila Uchawi ni laana kwa sababu ni Kazi ya shetani mwenyewe.
Na shetani ni Baba wa uongo na uharibifu.