Tumeshindwa Wapi? Olympic Games Tokyo 2021

Walioshiriki sina shida nao maana huenda hapo walipofikia ni juhudi zao binafsi. Wizara inayoandaa haya mashijdano na kupeleka wawakilishi na msafara ndio kamwe siwezi kusema wamejitahidi. Sio kweliiii. Hawa wakimbiaji huenda wameitwa kambini miezi mieili kujiandaa ili hali maandalizi sio miezi miwili. Ni zaidi.
 
Mimi sina sababu ya kuwalaumu kina Simbu na wenzao kwa sababu kwanza wanajiandaa katika mazingira magumu sana.

Ila inasikitisha nchi kubwa kama hii inaepeleka wanamichezo watatu tu. Why ?
Inasikitisha mno. Nchi nyingi zimepeleka wachezaji wengi.
Kuna michezo unaangalia, na unajiuliza kweli tulishindwa kabisa kupeleka watu washiriki huku?
 
Nchi nyingine wanajiandaa kwa Olympic kwa miaka minne.
Wizara ya michezo imelala, hawana akili, mashirikisho ya michezo nayo ni bomu.
Hapa tunahitaji tu muujiza.
 
Hivi hawana vipengele vya tawala dhalimu au police brutality?

Wallahi tusingekosa medali humo!
 
Katibu mkuu wa wizara kazi yake imebaki kufanya censoring ya vyombo vya habari tu no vision yoyote inasikitisha sana
Inasikitisha mnoo. Wamengangana na vitu ambavyo haviwezi kamwe kutusogeza mbele.
Najiuliza hivi hawakai hata siku moja kutafakari majukumu yao na ni namna gani wanaweza fanya ili tupige hatua? Wamebaki kutafuta ulaji tu.
 
Hawana namna uwezo wao ndiyo umeishia hapo ?
 
Siamini kama tumekosa wafukuza upepo hasa huko manyara, singida, arusha, dodoma na kigoma.
Nafikiri chama cha riadha kinafaa kuwajibika maana hao waliochaguliwa hawa viwango vya kushindana isipokuwa Simbu tu .
Wengine ni wasindikizaji tu nafikiri kuna tatizo Kwenye mfumo mzima kuanzia kupata vipaji , maandalizi , ufundishaji nk
Upande wa jeshi wamefanya kazi nzuri kupata na kuandaa wanamichezo wao ambao wengi wanatoka kwenye ajira ya jeshini.
Chama cha riadha kimeshindwa hata kuongeza nguvu kazi iliyoanzishwa na jeshi kwenye michezo.
Ni bora hio trip angeenda Simbu peke yake kuliko wasindikizaji Wengine walioenda Kwenye utalii Japan .
 
Amejitahidi, lakini kwa nini tujivunie kuwa namba 7? Kwa nini tusiumie kukosa medali?
Wananishangaza wanaosema kafanya vizuri wakati lengo ni Medali.

Kushangilia nafasi ya saba ni kama taifa la waliokata tamaa.
 
Wawakilishi wamejitahidi sana lakini baba yao serikali ndo mnafiki karne ya 21 serikali haioni umuhimu wa michezo wazazi nao wanashindia mitandaoni usiku kitandani
 
Wananishangaza wanaosema kafanya vizuri wakati lengo ni Medali.

Kushangilia nafasi ya saba ni kama taifa la waliokata tamaa.
Kafanya vizuri sana hata kama hakupata medali.
Ameplay part yake na hata akifa leo ataacha legacy yakuwa one of the best marathon runners.
Kama una uchungu sana na medali kwa Tanzania ungeenda kushindana wewe.
 
Tatizo ni viongozi washibe, kwanza kabla ya wachezaji
 
Kafanya vizuri sana hata kama hakupata medali.
Ameplay part yake na hata akifa leo ataacha legacy yakuwa one of the best marathon runners.
Kama una uchungu sana na medali kwa Tanzania ungeenda kushindana wewe.
Nasisitiza lengo kuu ni Medali.

Hata olympic ijayo lengo lisiwe 'kufanya vizuri' lengo liwe ni Medali, angalieni Kenya wanafanya nini muwaige maana hata hawako mbali.

Tupo milioni 60 tunakosa Mtu wa kuleta walau Medali moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…