Tumeshindwa Wapi? Olympic Games Tokyo 2021

Alafu eti tuna waziri wa michezo. Hivi leo hii haoni aibu kuwa hapo uwanjani hakuna mtanzania. Kenya wapo , uganda wapo kwa nini tanzania hatupo.

Hata kuendesha baiskeli, kurusha mkuki jamani, kuogelea, hata sarakasi basi. Aibu kwa Tanzania.
 
Tumepeleka washiriki wachache sana. Walioenda wamejitahidi sana wote wamekimbia marathon na marathon ni moto. Kati ya michezo migumu sana ni long distance marathon...
Asante kwa information hii. Kwa ufupi ni kwamba Mtz haku-qualify nafasi ya mchezo mwingine. Kenya wao wameweza na hata Uganda. Sisi tunashindwaje kabisa lakini? Tunabakia kushabikia ugomvi wa Manara na wengineo tu. #Sad

Screenshot_20210808-042519_Chrome.jpg
 
Kajitahidi sana. Kama hujui marathon nyamaza kimya usibwabwaje hovyo.
Mwisho wa siku my sister Winning is everything. Sawa.. effort ni ushindi in morale, lakini it is all about medals. Kwa hio ni kweli amejitahidi ila tatizo langu ni kwamba ni kwa nini mtu #7 hata ww unamwita world Class Olympian? Ni katika dunia ipi hio? Dunia ya waTz kwa WaTz ambapo we can play by our own rules? Haiendi hivyo sister.
 
Asante kwa information hii. Kwa ufupi ni kwamba Mtz haku-qualify nafasi ya mchezo mwingine. Kenya wao wameweza na hata Uganda. Sisi tunashindwaje kabisa lakini? Tunabakia kushabikia ugomvi wa Manara na wengineo tu. #Sad

View attachment 1885152
Wenye mamlaka kazi yao kuhudhuria sherehe. Badala watafute hata Wamasai huko mbugani au Wahadzabe wafanye mazoezi ya kutosha watuwakilishe, wamekaa tu maofisini wananenepeana na mavitambi yao.
Kuna michezo mingi sana kwenye Olympic mingine ni mirahisi tu hayahitaji vifaa vya gharama zaidi ya mazoezi. Wangeenda kuanzisha hii michezo shuleni watoto waanze kufanya mazoezi. Lakini wamekaa tu.
Kwa ufupi tumezubaa na wenye mamlaka waliuua michezo tangia awamu ya 3.
 
Linchi la watu milioni 60 unaenda kwenye mashindano na washiriki watatu tena kwenye mchezo mmoja tu !!.

Tumeshindwa hata kuandaa timu ya Handball ?
 
Kajitahidi sana. Kama hujui marathon nyamaza kimya usibwabwaje hovyo.
Kwenye viwango vya ushindi vya olympic waliojitahidi wanapata medali gani? Tusipende kujifariji kwa uongo. Timeshindwa na ibaki hivyo. Hakuna kujitahidi popote. Kweye haya mashindano aliyejitahidi mshindi wa 3 tu. Hao wengine hakuna kitu. Marathon naijua sana. Ukienda unajiamini hakuna kwenda kama hujui
 
Wenye mamlaka kazi yao kuhudhuria sherehe. Badala watafute hata Wamasai huko mbugani au Wahadzabe wafanye mazoezi ya kutosha watuwakilishe, wamekaa tu maofisini wananenepeana na mavitambi yao.
Kuna michezo mingi sana kwenye Olympic mingine ni mirahisi tu hayahitaji vifaa vya gharama zaidi ya mazoezi. Wangeenda kuanzisha hii michezo shuleni watoto waanze kufanya mazoezi. Lakini wamekaa tu.
Kwa ufupi tumezubaa na wenye mamlaka waliuua michezo tangia awamu ya 3.
Na maeneo serikali inayo mengine yamegeuka kuwa magofu tu.. Kushindwa kutumia rasilimali vizuri na kukosa ubunifu na creativity ni tatizo sana.
 
Ndio nimesema hii sio sawa.
Linchi la watu milioni 60 unaenda kwenye mashindano na washiriki watatu tena kwenye mchezo mmoja tu !!.

Tumeshindwa hata kuandaa timu ya Handball ?
Waziri na viongizi walitakiwa wapate adhabu. Vijana wapo wengi sana tena hawana ajira. Waandae michezo mingi ili kupeleka watu wengi zaidi
 
Kwenye viwango vya ushindi vya olympic waliojitahidi wanapata medali gani? Tusipende kujifariji kwa uongo. Timeshindwa na ibaki hivyo. Hakuna kujitahidi popote. Kweye haya mashindano aliyejitahidi mshindi wa 3 tu. Hao wengine hakuna kitu. Marathon naijua sana. Ukienda unajiamini hakuna kwenda kama hujui
Nasema hivi walioenda kutuwakilisha wamejitahidi sana. Tena sana hata kama hawakupata medali.
Si kweli kwamba unaifahamu marathon, kwa sababu ungekuwa unaifahamu ungejua hata kama Simbu hakupata medali amejitahidi sana. Kumaliza tu ni accomplishment. Kumaliza kwenye top 10 ni world class accomplishment.
Wakulaumu siyo hawa walioshiriki, wakulaumu ni wenye mamlaka na michezo Tanzania.
 
Na maeneo serikali inayo mengine yamegeuka kuwa magofu tu.. Kushindwa kutumia rasilimali vizuri na kukosa ubunifu na creativity ni tatizo sana.
Ni tatizo mnoo. Tumelogwa sio siri.
Tungekuwa serious tungefanya maajabu sana. Awamu ya kwanza tulianza vizuri ila zilizofuata ndio majanga yalipoanzia.
 
Nasema hivi walioenda kutuwakilisha wamejitahidi sana. Tena sana hata kama hawakupata medali.
Si kweli kwamba unaifahamu marathon, kwa sababu ungekuwa unaifahamu ungejua hata kama Simbu hakupata medali amejitahidi sana. Kumaliza tu ni accomplishment. Kumaliza kwenye top 10 ni world class accomplishment.
Wakulaumu siyo hawa walioshiriki, wakulaumu ni wenye mamlaka na michezo Tanzania.
Kwani mchezo ni marathon tu ?
 
Kama mpira wa miguu tunachukua waalimu toka nje, ni wakati sasa umefika tuchukue waalimu wa riadha toka Kenya.

Tuchukue wale wanariadha wastaafu na waliofanya vizuri enzi zao.
 
Michezo ni starehe inayoingizia vijana na mataifa madola in millions. Angalia west africa jinsi ilivyobadilisha nchi ikiwa ni pamoja na Nigeria, Ghana nk. Sisi population inakuwa kubwa tu ila tunabakia na diamond kwa nyimbo na Samatta, na Marehemu Mengi in business. Kwa idadi ya WaTz ilitakiwa kuwa na wawakilishi wengi duniani in sports, music, business, nk.
Diamond minyimbo ya matusi matupu. Hazina maadili, mafundisho yoyote kwa jamiii. Sema tu anaogopwa nyimbo zake zilipaswa kuzuiliwa kupigwa kwenye public.
 
Kwani mchezo ni marathon tu ?
Hapana.
Ndio maana nashangaa anawalaumu akina Simbu waliofanya vizuri kwenye mchezo wao.
Wakulaumu ni wenye mamlaka ya michezo Tanzania sio walioenda kutuwakilisha.
Nchi zilizokusanya medali zimepeleka zaidi ya wachezaji 10.
 
Mimi sina sababu ya kuwalaumu kina Simbu na wenzao kwa sababu kwanza wanajiandaa katika mazingira magumu sana.

Ila inasikitisha nchi kubwa kama hii inaepeleka wanamichezo watatu tu. Why ?
 
Hata mimi nashangaa! Binafsi sijashindwa maana nilichokitegemea ndio kilichokuja
Unampeleka mtu kwenye mashindano anafanya mazoezi kwa mlo mmoja kwa siku, anastress za mapenzi, anawaza madeni ya songesha na vicoba plus tozo za miamala unategemea alete medali?
 
Back
Top Bottom