Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Kajitahidi sana. Kama hujui marathon nyamaza kimya usibwabwaje hovyo.Hajajitahidi acha kujidanganya. Ameahindwa. Wa nne nae kashindwa sembuse wa 7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajitahidi sana. Kama hujui marathon nyamaza kimya usibwabwaje hovyo.Hajajitahidi acha kujidanganya. Ameahindwa. Wa nne nae kashindwa sembuse wa 7.
Asante kwa information hii. Kwa ufupi ni kwamba Mtz haku-qualify nafasi ya mchezo mwingine. Kenya wao wameweza na hata Uganda. Sisi tunashindwaje kabisa lakini? Tunabakia kushabikia ugomvi wa Manara na wengineo tu. #SadTumepeleka washiriki wachache sana. Walioenda wamejitahidi sana wote wamekimbia marathon na marathon ni moto. Kati ya michezo migumu sana ni long distance marathon...
Mwisho wa siku my sister Winning is everything. Sawa.. effort ni ushindi in morale, lakini it is all about medals. Kwa hio ni kweli amejitahidi ila tatizo langu ni kwamba ni kwa nini mtu #7 hata ww unamwita world Class Olympian? Ni katika dunia ipi hio? Dunia ya waTz kwa WaTz ambapo we can play by our own rules? Haiendi hivyo sister.Kajitahidi sana. Kama hujui marathon nyamaza kimya usibwabwaje hovyo.
Wenye mamlaka kazi yao kuhudhuria sherehe. Badala watafute hata Wamasai huko mbugani au Wahadzabe wafanye mazoezi ya kutosha watuwakilishe, wamekaa tu maofisini wananenepeana na mavitambi yao.Asante kwa information hii. Kwa ufupi ni kwamba Mtz haku-qualify nafasi ya mchezo mwingine. Kenya wao wameweza na hata Uganda. Sisi tunashindwaje kabisa lakini? Tunabakia kushabikia ugomvi wa Manara na wengineo tu. #Sad
View attachment 1885152
Linchi la watu milioni 60 unaenda kwenye mashindano na washiriki watatu tena kwenye mchezo mmoja tu !!.Asante kwa information hii. Kwa ufupi ni kwamba Mtz haku-qualify nafasi ya mchezo mwingine. Kenya wao wameweza na hata Uganda. Sisi tunashindwaje kabisa lakini? Tunabakia kushabikia ugomvi wa Manara na wengineo tu. #Sad
View attachment 1885152
Kwenye viwango vya ushindi vya olympic waliojitahidi wanapata medali gani? Tusipende kujifariji kwa uongo. Timeshindwa na ibaki hivyo. Hakuna kujitahidi popote. Kweye haya mashindano aliyejitahidi mshindi wa 3 tu. Hao wengine hakuna kitu. Marathon naijua sana. Ukienda unajiamini hakuna kwenda kama hujuiKajitahidi sana. Kama hujui marathon nyamaza kimya usibwabwaje hovyo.
Tofauti ya mshindi wa kwanza na wa saba ni sekunde kadhaa tu. Amejitahidi sanaHajajitahidi acha kujidanganya. Ameahindwa. Wa nne nae kashindwa sembuse wa 7.
Na maeneo serikali inayo mengine yamegeuka kuwa magofu tu.. Kushindwa kutumia rasilimali vizuri na kukosa ubunifu na creativity ni tatizo sana.Wenye mamlaka kazi yao kuhudhuria sherehe. Badala watafute hata Wamasai huko mbugani au Wahadzabe wafanye mazoezi ya kutosha watuwakilishe, wamekaa tu maofisini wananenepeana na mavitambi yao.
Kuna michezo mingi sana kwenye Olympic mingine ni mirahisi tu hayahitaji vifaa vya gharama zaidi ya mazoezi. Wangeenda kuanzisha hii michezo shuleni watoto waanze kufanya mazoezi. Lakini wamekaa tu.
Kwa ufupi tumezubaa na wenye mamlaka waliuua michezo tangia awamu ya 3.
Waziri na viongizi walitakiwa wapate adhabu. Vijana wapo wengi sana tena hawana ajira. Waandae michezo mingi ili kupeleka watu wengi zaidiLinchi la watu milioni 60 unaenda kwenye mashindano na washiriki watatu tena kwenye mchezo mmoja tu !!.
Tumeshindwa hata kuandaa timu ya Handball ?
Nasema hivi walioenda kutuwakilisha wamejitahidi sana. Tena sana hata kama hawakupata medali.Kwenye viwango vya ushindi vya olympic waliojitahidi wanapata medali gani? Tusipende kujifariji kwa uongo. Timeshindwa na ibaki hivyo. Hakuna kujitahidi popote. Kweye haya mashindano aliyejitahidi mshindi wa 3 tu. Hao wengine hakuna kitu. Marathon naijua sana. Ukienda unajiamini hakuna kwenda kama hujui
Ni tatizo mnoo. Tumelogwa sio siri.Na maeneo serikali inayo mengine yamegeuka kuwa magofu tu.. Kushindwa kutumia rasilimali vizuri na kukosa ubunifu na creativity ni tatizo sana.
Kwani mchezo ni marathon tu ?Nasema hivi walioenda kutuwakilisha wamejitahidi sana. Tena sana hata kama hawakupata medali.
Si kweli kwamba unaifahamu marathon, kwa sababu ungekuwa unaifahamu ungejua hata kama Simbu hakupata medali amejitahidi sana. Kumaliza tu ni accomplishment. Kumaliza kwenye top 10 ni world class accomplishment.
Wakulaumu siyo hawa walioshiriki, wakulaumu ni wenye mamlaka na michezo Tanzania.
Diamond minyimbo ya matusi matupu. Hazina maadili, mafundisho yoyote kwa jamiii. Sema tu anaogopwa nyimbo zake zilipaswa kuzuiliwa kupigwa kwenye public.Michezo ni starehe inayoingizia vijana na mataifa madola in millions. Angalia west africa jinsi ilivyobadilisha nchi ikiwa ni pamoja na Nigeria, Ghana nk. Sisi population inakuwa kubwa tu ila tunabakia na diamond kwa nyimbo na Samatta, na Marehemu Mengi in business. Kwa idadi ya WaTz ilitakiwa kuwa na wawakilishi wengi duniani in sports, music, business, nk.
Hapana.Kwani mchezo ni marathon tu ?
Halafu wizara kazi yao ni kuwapromote tu hawa wa matusi. Hawana muda kabisa na wanamichezo. Shwain.Diamond minyimbo ya matusi matupu. Hazina maadili, mafundisho yoyote kwa jamiii. Sema tu anaogopwa nyimbo zake zilipaswa kuzuiliwa kupigwa kwenye public.
Mimi sina sababu ya kuwalaumu kina Simbu na wenzao kwa sababu kwanza wanajiandaa katika mazingira magumu sana.Hapana.
Ndio maana nashangaa anawalaumu akina Simbu waliofanya vizuri kwenye mchezo wao.
Wakulaumu ni wenye mamlaka ya michezo Tanzania sio walioenda kutuwakilisha.
Nchi zilizokusanya medali zimepeleka zaidi ya wachezaji 10.
Hata mimi nashangaa! Binafsi sijashindwa maana nilichokitegemea ndio kilichokujaKwani Tanzania ilienda kushindana ?
Unampeleka mtu kwenye mashindano anafanya mazoezi kwa mlo mmoja kwa siku, anastress za mapenzi, anawaza madeni ya songesha na vicoba plus tozo za miamala unategemea alete medali?Hata mimi nashangaa! Binafsi sijashindwa maana nilichokitegemea ndio kilichokuja