Tumeshindwaje kuongoza njia za Mwendokasi

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?

ADVICE

1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti

2. Pia kwenye zebra tuwe na sheria ngumu kidogo
3. TANROAD acheni ushamba high way zote max speed iwe 110 na speed kwenye miji iwe 70 na sheria iwe kali sana
 
Punda haendi bila kiboko ila kupiga risasi umeenda mbali sana. Kuna kipindi Hayati alipiga marufuku bodaboda na gari nyingine kutumia njia za mwendokasi. Akisema bodaboda ikipita huko polisi waikamate waipeleke kituoni ikibidi waitoe matairi kabisa. Hakuna kenge alitumia hio njia baada ya kauli jio. Polisi hawajawa serious kwasababu na wao ndio watumiaji wakuu wa njia hizo.
 
1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?

ADVICE

1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti

2. Pia kwenye zebra tuwe na sheria ngumu kidogo
3. TANROAD acheni ushamba high way zote max speed iwe 110 na speed kwenye miji iwe 70 na sheria iwe kali sana
Risasi hapana.
Risasi huwa zinatumika na walioshindwa kutumia akili vizuri.
Hilo tatizo linatatulika. Tunahitaji tu kuwa na Watu sahihi kwenye nafasi sahihi za maamuzi.
 
Uvungu wa mwendokasi ni mpana compared to vigari vidogo vinavyopita. Wangechimba shimo katikati ya Barbara lenye upana sawa na mwendokasi gari ndogo zisingeweza kupita. Nimeona mtandaoni hii huko nchi za mbele.
 
itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti
Kwa hio hii ndio njia sahihi kabisa ya kutatua changamoto ya uvunjifu wa sheria?
 
1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?

ADVICE

1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti

2. Pia kwenye zebra tuwe na sheria ngumu kidogo
3. TANROAD acheni ushamba high way zote max speed iwe 110 na speed kwenye miji iwe 70 na sheria iwe kali sana
Hivi kwenye hiyo nchi kuna kitu cha maana kweli kinaendelea? ukishaona mamiradi makubwa wanajichukulia wenyewe bila hata chembe ya utaalamu unategemea kuna kitu kitaendelea? Bongo bahati mbaya sana.
 
1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?

ADVICE

1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti

2. Pia kwenye zebra tuwe na sheria ngumu kidogo
3. TANROAD acheni ushamba high way zote max speed iwe 110 na speed kwenye miji iwe 70 na sheria iwe kali sana
Hii kazi mbona rahisi sana. Waweke AUTOMATIC BARRIER na ANPR system bus likifika barrier inafunguka gari ingine yoyote barrier haifunguki.
 
Back
Top Bottom