Risasi hapana.1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?
ADVICE
1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti
2. Pia kwenye zebra tuwe na sheria ngumu kidogo
3. TANROAD acheni ushamba high way zote max speed iwe 110 na speed kwenye miji iwe 70 na sheria iwe kali sana
Kumalamamayako! Limevaa Ushungipiga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti
Kwa hio hii ndio njia sahihi kabisa ya kutatua changamoto ya uvunjifu wa sheria?itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti
Hivi kwenye hiyo nchi kuna kitu cha maana kweli kinaendelea? ukishaona mamiradi makubwa wanajichukulia wenyewe bila hata chembe ya utaalamu unategemea kuna kitu kitaendelea? Bongo bahati mbaya sana.1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?
ADVICE
1. itungwe sheria ndogo tu ukipita tu chombo kitaifishwe, na ikitokea mtu anagoma kusimama awe boda boda au mwenye gari bila kujali cheo piga risasi waliopo wote kwenye hicho chombo ili waanmbizane kutiii sheria bila shuruti
2. Pia kwenye zebra tuwe na sheria ngumu kidogo
3. TANROAD acheni ushamba high way zote max speed iwe 110 na speed kwenye miji iwe 70 na sheria iwe kali sana
Hii kazi mbona rahisi sana. Waweke AUTOMATIC BARRIER na ANPR system bus likifika barrier inafunguka gari ingine yoyote barrier haifunguki.1. Nimekuja kwenye jiji lenu inanishangaza sana ndani ya njia ya mwendokasi kuna pikipiki, kuna magari ya watu binafsi balaa nashangaaa polisi wanashindana na raia kuzuia watu sasa ina maana gana ya kuwa na sheria ?