Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu.

Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu.

Tumedharililishwa kisa wake za watu.

Tumefirisika kisa makahaba

Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza

Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates

Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko

Tumechelewa kujenga kisa makahaba

Tumepoteza hadhi ya mwanamke bora kwa kuwa tuko desperate na walio uchi uchi wenye makalio makubwa.

Tumepoteza trust ya Mungu kisa ufuska.

TAKE CARE.
 
Back
Top Bottom