Phone4Sale Tumeshusha mzigo wa Simu za Mezani na Simu nyingine zote pamoja na tablet

KingsStore

Member
Joined
Feb 22, 2023
Posts
73
Reaction score
105
Habari wakuu,

Tumeshusha mzigo mpya wa simu simu zote mpya pamoja na used. Simu za mezani, unaweka laini yoyote inakaa na chaji si chini ya siku nne kwa matumizi ya nyumbani na ofisini.

Tumeshusha tablet zenye keyboard na zisizo na keyboard kwajili ya watoto,watu wazima na ofisi.
Bei za simu zetu ni rahisi sana nimeainisha kwenye uzi uliopita.
Asanteni sana order kutoka humu ni nyingi sana Mungu awabariki.

☎️ 0682400906
📍KARIAKOO MTAA WA AGGREY NA LIKOMA.
 
Yaani huoni shida na hili tangazo lako we jamaa?
 
Hiyo 6,000 ni macho yangu au umekosea bei!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…