Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto.

Je alikuwa bado single? Why? Au jongoo hapandi mtungi? Kama alikuwa na mke, mbona hatumsikii au ndiye aliyemchoma mumewe? Japo kuoa na kuolewa ni mambo binafsi, kwa public figure, ni public matters. Vipi mke wa Slowslow yuko wapi na ana hali gani?

Au ni yale yale ya Paulo wa Tarso kidhabi mkubwa aliyemtumia Yesu kuanzisha ukristo wake?
Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
 
Nitakuwa mtu wa kwanza kabisa kuamini mtoa mada ni mwanamke, na hivyo anatamani kuwa mke wa Polepole ili na yeye aonekane kwenye vyombo vya habari.
Naamini nawe ni mwanamke yule yule anayeona wivu wa kike. Kkkkkk.
 
Hana mke wala watoto. Ndo maana alijitoa mhanga.
 
Unataka akuoe mke wa pili ?
Mwanaume mzima unamuongeleaje dume jenzie eti "jogoo hapandi mtungi" , nenda udinywe ukautangazie uma !
Fakin
 
Unataka majoo mangapi sasa yanayopanda mtungi? Kama unataka na jogoo langu, karibu binti ili uje utoe ushuhuda kwa rafiki zako wa karibu.
Miseenge ina tabu. Wewe hapo ulipo bwabwa japo chafu halafu unaongelea mambo ya warume! MWE!
 
Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado single? Why? Au jongoo hapandi mtungi? Kama alikuwa na mke, mbona hatumsikii au ndiye aliyemchoma mumewe? Japo kuoa na kuolewa ni mambo binafsi, kwa public figure, ni public matters. Vipi mke wa Slowslow yuko wapi na ana hali gani? Au ni yale yale ya Paulo wa Tarso kidhabi mkubwa aliyemtumia Yesu kuanzisha ukristo wake?
Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
Duh😎

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Back
Top Bottom