The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Senzi we umeweka usenzi kwenye uzi wangu😳😳😳.
Uzi wako wenyewe wa kishenziSenzi we umeweka usenzi kwenye uzi wangu
Wewe ni soga sanaWewe ni mwanamke ? Jongoo wa Pole pole anakuhusu nini au unataka kupelekewa moto
Naamini nawe ni mwanamke yule yule anayeona wivu wa kike. Kkkkkk.Nitakuwa mtu wa kwanza kabisa kuamini mtoa mada ni mwanamke, na hivyo anatamani kuwa mke wa Polepole ili na yeye aonekane kwenye vyombo vya habari.
Binti anatamani angekuwa mke wa Polepole, huku akiwa amezalishwa watoto wa kutosha ili atuoneshe kwenye Tv jinsi alivyoguswa na kuumizwa kwa tukio la mume wake kutekwa na kupotezwa na wahuni.Wewe ni mwanamke ? Jongoo wa Pole pole anakuhusu nini au unataka kupelekewa moto

Unataka majoo mangapi sasa yanayopanda mtungi? Kama unataka na jogoo langu, karibu binti ili uje utoe ushuhuda kwa rafiki zako wa karibu.Naamini nawe ni mwanamke yule yule anayeona wivu wa kike. Kkkkkk.

Miseenge ina tabu. Wewe hapo ulipo bwabwa japo chafu halafu unaongelea mambo ya warume! MWE!Unataka majoo mangapi sasa yanayopanda mtungi? Kama unataka na jogoo langu, karibu binti ili uje utoe ushuhuda kwa rafiki zako wa karibu.
Uzi umekaa kifala sanaBinti anatamani angekuwa mke wa Polepole, huku akiwa amezalishwa watoto wa kutosha ili atuoneshe kwenye Tv jinsi alivyoguswa na kuumizwa kwa tukio la mume wake kutekwa na kupotezwa na wahuni.
Duh😎Japo sijui Humphrey Polepole alizaliwa tarehe ngapi, wikipedia yake inasema alizaliwa mwaka 1980. Hivyo, ameishafikisha umri wa kuoa na kuwa na watoto. Tangu ajiuzulu ulaji na kujigeuza mpinzani wa wahuni wenzake, sikuwahi kusikia akitajwa wala kuonyeshwa mkewe au watoto. Je alikuwa bado single? Why? Au jongoo hapandi mtungi? Kama alikuwa na mke, mbona hatumsikii au ndiye aliyemchoma mumewe? Japo kuoa na kuolewa ni mambo binafsi, kwa public figure, ni public matters. Vipi mke wa Slowslow yuko wapi na ana hali gani? Au ni yale yale ya Paulo wa Tarso kidhabi mkubwa aliyemtumia Yesu kuanzisha ukristo wake?
Nafikiri na kuwaza kimya kimya.
Kama wewe. Kwa mahaniiithi of course, huu uzi ni wa kifala kwa sababu unawatonesha vidonda.Uzi umekaa kifala sana