Tumesikia maombi na vilio vya mama Polepole na ndugu zake, mkewe na watoto vipi?

Mleta mada hajauliza swali baya.

Hana mke wala mtoto.

Ni sisi tuko worried na yeye kupotea ila yeye na harakati zake alishasema mara nyingi kufa ni faida.

One thing about HP si muongo muongo linapokuja suala la mahusiano, Kuna dada miss tz 2016 sikumbuki nafasi ya ngapi (sitamtaja sababu tayari ana ndoa), Mweupe, mzuri, shombe shombe alimng’ang’ania HP amuoe, HP alikuwa anampenda kweli lakini alimwambia tu hautaweza maisha yangu, (it’s complicated ) So yeah mwenyewe ni kama alishajua anachofanya. Mleta mada hilo shaka la uanaume wa HP uondoe na kuwa na amani.

Watu kama HP wapo wanatokea kila nchi.
 
Una pwenti. Kama kwake, kufa ni faida, basi ashukuru kaipata bila kulipia.
 
Umeshawahi kujiuliza ukisikia vilio vya mkewe na watoto wake utafanya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…