Wamepoteana si unajua wale jamaa wote wamewekwa kwenye frijiSi kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,
Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa.
Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
Bora ukutwe na ngozi ya chui ila sio kuvaa sare za CCM mtaaniHata mbwembwe za kuvaa sare za chama sizioni 😹
Zile baiskeli na pikipiki kwel sijui zipo wap?Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha,
Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa.
Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.